Wake za watu vipi??

Kidasa

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
309
108
Kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake:
1.Amesafiri kikazi let say siku 5-Katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara 2
2.Ikitokea amesafiri either kikazi,kwenda kusalimia kwao,kwa vyovyote atakaporudi lazima atakuwa amegegedwa
3 .Akihihisi mwenzake(mume wake)ana mahusiano nje,japo sio kwa kumuona live lazima na yeye akatafute wa kumgegeda.Sasa hivi ni mtindo wa ushindani full,kuonyeshana ubabe.
Naongea hivi kwa sababu kuna demu(mke wa mtu)mwanzoni nilikuwa namheshimu sana,mume wake alisafiri kikazi nikakutana naye mida ya jioni siku hiyo mume wake aliposafiri,nilikuwa naelekea Bar ya jirani kupata moja moto,moja baridi yeye anaelekea sokoni,nikampa lifti simply sikumtongoza zaidi ya yeye kujitongozesha kwangu matokeo yake Safari ya sokoni iliishia guest.
JAMANI WAKE ZA WATU TULIENI,MNAWADHALLILISHA NA KUWAFEDHEHESHA WANAUME ZENU.
 
Unanyoosheaje kidole wazinzi wakati na wewe uu mmoja wapo? nimedhani baada ya kujitongozesha na kwa kuwa unajua ni mke wa mtu angalau ungemsemesha kidogo ajirudi akaheshimu ndoa yake, kumbe na wewe ulitongozeka ukala vya watu.

Aibu aibu aibu ..............
 
Ukisoma katikati ya mistari utagundua tu dogo anajishaua. Hamna lolote.
 
ila we mleta thread umejiaibisha tu unasema safari ya sokoni iliishia gesti huko

gest alienda mwenyewe si mlienda pamoja........!!!!!!!na kumgegeda ukamgegeda
 
Unanyoosheaje kidole wazinzi wakati na wewe uu mmoja wapo? nimedhani baada ya kujitongozesha na kwa kuwa unajua ni mke wa mtu angalau ungemsemesha kidogo ajirudi akaheshimu ndoa yake, kumbe na wewe ulitongozeka ukala vya watu.

Aibu aibu aibu ..............

kaja kumsema JF wakati wanakaa mtaa mmoja angemwambia mda ule ule

tena kabla hawajaenda kulalana........wameshalalana ndio anakuja kuanzisha thread
 
ila we mleta thread umejiaibisha tu unasema safari ya sokoni iliishia gesti huko

gest alienda mwenyewe si mlienda pamoja........!!!!!!!na kumgegeda ukamgegeda

Naweza kukuapia hakumgegeda mke wa mtu. hata machangu nao hujiita wake za watu. Dogo anajipa promo tu.
 
Kwahiyo huyo mmoja ndo umekonkludi wake zetu wote wana tabia hiyo.

snowhite unaitwa huku. Afu bahati nzuri dogo ana garry lake atakupamo lift. Bila hii thread tungejuaje ana garrri?

Ina maana Mangi ukiwa umetoka tu kuna watu wanakuja kumgegeda my wife wako? Kweli?
 
Last edited by a moderator:
ila we mleta thread umejiaibisha tu unasema safari ya sokoni iliishia gesti huko

gest alienda mwenyewe si mlienda pamoja........!!!!!!!na kumgegeda ukamgegeda

Ndo namshangaa... badala ya yeye kuacha kugegeda wake za watu, anawalaumu hao wake za watu kwa kugegedwa na yeye..
 
Kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake:
1.Amesafiri kikazi let say siku 5-Katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara 2
2.Ikitokea amesafiri either kikazi,kwenda kusalimia kwao,kwa vyovyote atakaporudi lazima atakuwa amegegedwa
3 .Akihihisi mwenzake(mume wake)ana mahusiano nje,japo sio kwa kumuona live lazima na yeye akatafute wa kumgegeda.Sasa hivi ni mtindo wa ushindani full,kuonyeshana ubabe.
Naongea hivi kwa sababu kuna demu(mke wa mtu)mwanzoni nilikuwa namheshimu sana,mume wake alisafiri kikazi nikakutana naye mida ya jioni siku hiyo mume wake aliposafiri,nilikuwa naelekea Bar ya jirani kupata moja moto,moja baridi yeye anaelekea sokoni,nikampa lifti simply sikumtongoza zaidi ya yeye kujitongozesha kwangu matokeo yake Safari ya sokoni iliishia guest.
JAMANI WAKE ZA WATU TULIENI,MNAWADHALLILISHA NA KUWAFEDHEHESHA WANAUME ZENU.

Usilalamikie wake za watu wakati na ww ulikubaliana na kitendo cha kujitongozesha kwako, na ukamaliza shida zako,na ww ulimtamani muda mrefu tu ulikua unasubiri upate nafasi!
 
kaja kumsema JF wakati wanakaa mtaa mmoja angemwambia mda ule ule

tena kabla hawajaenda kulalana........wameshalalana ndio anakuja kuanzisha thread

Inawezekana hakukidhi viwango vyake, ila kama angekidhi ahh wala asingelalamika!
 
Back
Top Bottom