Wake za watu ni janga la kitaifa

Wake za watu ni janga la kitaifa

awazalo mjinga ndio litakalo mtokea nukuu kutoka kwa afande Selle vitu vingine kama mwanaume haina haja ya kuchunguza saaana. Wahenga walisema ukimchunguza kuku hauta mla hawakumaanisha huyu kuku wa miguu miwili walimaanisha ule mgodi unaotembea
 
Vitu vinabadilika mkuu usikariri maisha
Kila taasisi na kanuni zake. Kanuni kuu ya ndoa ni mke na mume wakutane wakiwa bikra. Sasa mnakutana breki pumbuzzz alafu unategemea cheti cha ndoa ndio kimbadilishe
 
Teh teh..... Itakua Mme wake hamfikish kunako...
Au
Ni mwanaume wa Dar
Mianamike ya sasa, hata uifikishe mpaka kwenye koromeo bado yatagongwa nje tu, ni laana waliyonayo, ndio maana mi mke wa mtu alijikuta namfukua mpaka mbolea kudadadeki!! Kesho yake najipitisha karibu na mumewe unakuta mume akampeleka hospitali eti ooh, mke wangu kaamka ghafla nyonga haifanyi kazi nampeleka hospitali! Hua nacheeeka!! Wanawake mwalimu wao kipofu!
 
Si kila anayeitwa mume ni mume, wengine wanaitwa mume ili wavimbe kichwa watoe pesa zaidi.
 
Yuko sahihi,75% ya wake za watu wanasaliti ndoa zao. Yawezekana kwa ajili ya kipato au tamaa za mwili kingono. Hali ni mbaya zaidi huko mjini.

Cha ajabu hata wenye uchumi mkubwa wanagawa k kama wamerogwa.Na wanahonga pesa ndefu. Kuna story naifahamu kuhusu jamaa yangu kutoka na mtu huko mjini. Hutumiwa nauli,analipiwa chumba cha kulala na chakula ili tu akamchokonoe jimama. Na akishamaliza anapewa hela ya matumizi pia hadi m.

Wake za watu ni janga.
Naomba tujipime sote!! Unapomnyooshea mwenzio kidole kimoja, vidole vinne vinakunyooshea mwenyewe!!! Na me nao ni asilimia ngapi??
 
Mianamike ya sasa, hata uifikishe mpaka kwenye koromeo bado yatagongwa nje tu, ni laana waliyonayo, ndio maana mi mke wa mtu alijikuta namfukua mpaka mbolea kudadadeki!! Kesho yake najipitisha karibu na mumewe unakuta mume akampeleka hospitali eti ooh, mke wangu kaamka ghafla nyonga haifanyi kazi nampeleka hospitali! Hua nacheeeka!! Wanawake mwalimu wao kipofu!
. Ha haa umetisha mkuu ....yn alikupa had mfereji utindue😂😂
 
Ni mgeni nipo Musoma mjini nilifika tangu jana usiku.Nikawa nimechukua chumba Lodge moja iitwayo embassy maarufu kwa shangazi iliyo karibu na stand ya zamani iitwayo stand ya Makoko.

Wakati nimelala usiku mida ya saa tano usiku nikasikia dada mmoja yupo karibu na dirisha akijibu simu "Mme wangu nipo kwa dada hapa Kiabakari kesho asubuhi ndipo nitapokea mzigo wa Ndizi toka Tarime"

Nimemhurumia jamaa yangu maana asubuhi nilimshuhudia yule dada anatoka chumbani na jamaa mmoja ambaye nilihisia ni dreva
Unasema usiku uliisikia sauti ya mwanamke..
Asubuhi unasema ulimwona huyo mwanamke anatoka chumbani gest.....
Swali:
Ulijuaje huyo mwanamke ndio ile sauti uliyoisikia dirishani kwako ikijibu simu?
 
Vitu vinabadilika mkuu usikariri maisha
Wewe wacha porojo aliye kuumba na kukuwekea hiyo miongozo sio mjinga alijua madhara yake.

Sasa mtu unabadilisha papuchi mpaka waja kuoa tayari umeonja papuchi kama 247 kweli unategemea huyo mtu ataweza maisha ya ndoa?
 
Sa si bora uombe talaka umfuate huyo asiyetaka kuvimba kichwa!!
Talaka inatolewa kwa mke halali. Mm nimekuambia sio kila anayeitwa mume ni mume wa ndoa.....

mleta mada kasikia mtu anaitwa mume kwenye simu akahitimisha kuwa ni mume wa ndoa ilihali hawa wanawake wanaweza kukuita mume tu ili adange vizuri.
 
Talaka inatolewa kwa mke halali. Mm nimekuambia sio kila anayeitwa mume ni mume wa ndoa.....

mleta mada kasikia mtu anaitwa mume kwenye simu akahitimisha kuwa ni mume wa ndoa ilihali hawa wanawake wanaweza kukuita mume tu ili adange vizuri.
Ooh! Sorry sikuwa nimekuelewa
 
Wanahonga pesa? Sikuwahi kudhani kuna wake za watu maboya hivi...nikaliwe halafu nitoe pesa [emoji848]
Huna hela halafu bado unamuonekano wakuamsha hisia za mwanaume(mvuto). Ila siku demand ikipungua utatoa k na kuhonga juu.
 
Una wivu Sana aisee.
Kuoa ni adhabu kubwa sana, ukiwa na roho nyepesi unaweza kufungwa jela au ukaua mtu aisee, umepangiwa muda wa kurudi, kulala, kuoga, kula, kukaa na marafiki, Hapo hujakumbana na gubu la mke ni shida!!
 
Yaani mifano ya wanawake wajinga wajinga, wasioelewa hata majukumu yao katika NDOA ndo mnawajumuisha wake za watu wote.
 
Back
Top Bottom