COBRA AKA BLACK MAMBA
New Member
- Jan 11, 2021
- 2
- 14
Ni mgeni nipo Musoma mjini nilifika tangu jana usiku.Nikawa nimechukua chumba Lodge moja iitwayo embassy maarufu kwa shangazi iliyo karibu na stand ya zamani iitwayo stand ya Makoko.
Wakati nimelala usiku mida ya saa tano usiku nikasikia dada mmoja yupo karibu na dirisha akijibu simu "Mme wangu nipo kwa dada hapa Kiabakari kesho asubuhi ndipo nitapokea mzigo wa Ndizi toka Tarime"
Nimemhurumia jamaa yangu maana asubuhi nilimshuhudia yule dada anatoka chumbani na jamaa mmoja ambaye nilihisia ni dreva