Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,001
- 16,207
Huna nyege za kutosha.Umri wangu ni 40 plus..haitakuja tokea nikahonga mwanaume
Huna nyege za kutosha.Umri wangu ni 40 plus..haitakuja tokea nikahonga mwanaume
Wanahonga pesa? Sikuwahi kudhani kuna wake za watu maboya hivi...nikaliwe halafu nitoe pesa [emoji848]
Siwezi toka nje ya ndoa kwaajili ya kukunwa vizuri, kwasababu siwezi ishi na mume asiyeweza kunikuna vizuri.. nadhani umenielewa.
Kiufupi ni kwamba..nyege hazitasababisha mimi nichepuke, labda Jambo lingine. Na hata ikitokea kwa bahati mbaya nikafanya hivyo sitahonga badala yake mchepuko ndo anihonge au nifanye tu kwa hisia zangu kwake.
Muhusika anazimaliza, halafu kwanini nihonge..Huna nyege za kutosha.
Tena wanipitie mbaliHa ha ha..
Hujapatwa na baharia bado ww[emoji23]
Sijamuhukumu mtu maana hata mimi huwa nateleza na ni ile tu kuvutiwa na mtu na si kwamba nimezidiwa na nyege.Hisia zako si ndio nyege mkuu ama ni furaha tu, umemuona mchizi umemfurahia [emoji3].
Swala la kuchepuka halina fomula kila mtu linaweza mpata inategemea tu shetani kakupa jaribu gani.
Unaweza sema hauwezitoka nje kwa ajili ya kukunwa, mmeo akapata ugonjwa kama sukari akashindwa kukukuna ukapata nyege zako kijana wa jirani akakushuhulikia tena ukamuahidi vitu vikubwa vikubwa na crazy jeans ukamnunulia kabisa [emoji23][emoji23]
Stay humble mkuu, kuna wanawake wanachepuka kutokana na magumu wanayopitia wala usiwahukumu, shukuru Mungu hajakupa magumu yao.
vibaya munoooUna wivu Sana aisee.
wake za watu wanachapwa sana na tunawachapa si tunaona.Na wanavyo waponda waume zao acha kabisa!! Mwanamke sio msiri wa siri za ndani kumtunzia mmewe hasa akiwa anapigwa bakora za kimkakati atatoa siri zote za madhaifu ya mmewe na misukosuko anayopata kwenye ndoa.Sure
Huyo huyo muhusika ndo tunamuongelea, Umuhonge.Muhusika anazimaliza, halafu kwanini nihonge..
Namuhonga mume wangu?Huyo huyo muhusika ndo tunamuongelea, Umuhonge.
Namuhonga mume wangu?
Huwezi sema kuhonga linapokuja suala la mume na mke. Tafuta msamiati mwingineNdio.
Hiyo ndio point sasa na wewe unahonga.
Kama mimi tu.
Basi umeshinda.Huwezi sema kuhonga linapokuja suala la mume na mke. Tafuta msamiati mwingine
Sawa mkuuBasi umeshinda.
Subr niowe, nikimuowa mrembo wangu, nitakuja na mrehesho kauli gani inafaa hapo.
Usiseme wake za watu sema mke wa mtu.Ni mgeni nipo Musoma mjini nilifika tangu jana usiku.Nikawa nimechukua chumba Lodge moja iitwayo embassy maarufu kwa shangazi iliyo karibu na stand ya zamani iitwayo stand ya Makoko.
Wakati nimelala usiku mida ya saa tano usiku nikasikia dada mmoja yupo karibu na dirisha akijibu simu "Mme wangu nipo kwa dada hapa Kiabakari kesho asubuhi ndipo nitapokea mzigo wa Ndizi toka Tarime"
Nimemhurumia jamaa yangu maana asubuhi nilimshuhudia yule dada anatoka chumbani na jamaa mmoja ambaye nilihisia ni dreva