Mkuu ngoja inipite kushoto hii Tandam.Hahahah chalii anaogopa scania

Umeongea mkuuRidhisheni wake zenu........
Wapeni mahaba na matunzo
Acheni kuchepuka hovyo hovyo in the name ya mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja... acheni visiranj vya hovyo(haswa mkishapata micheps)
La sivyo
Wake zenu
Watauza mechi tu
Hamna namna

Eeh hizo basket fund ni muhimu sana kwa kujipush kimikakatiwahuni wanalia lia na mizinga ya nyuklia huku vijana wanachezea bahati

aiseeee....Eti jimama nalo ladeka kama mtoto wa chuo mwaka wa piliHhahahah jimama linadeka tena😃😃😃 mbona jauaiseeee....Eti jimama nalo ladeka kama mtoto wa chuo mwaka wa pili
kwaiy wamaanisha wake za watu wanapigwa sana na ni jambo la kawaida?Bado hujakua vizuri.
Subiri ukue.
Namaanisha kuambiwa hisia za mtu juu yako ni kawaida, kama unaona ndoa ni kikwazo hujakua vya kutosha.kwaiy wamaanisha wake za watu wanapigwa sana na ni jambo la kawaida?
Hili nalo neno.Sasa mzee Ana miaka 50
Na Ana mchepuko unategemea anaweza kumridhisha mkewe?!
on your own riskNitumie namba yake
Hili nalo neno.
sasa na wale ambao umri wa waume zao haujaenda sana kiasi kwamba wanakaribiana. Shida inakuwa nn?
aiseeee....Eti jimama nalo ladeka kama mtoto wa chuo mwaka wa pili




Nakuona queen of DP
Mpareeh wee huwataki majimama? Au ndo zako kuvizia 1St yr pale Magufuri hostel opposite na mawasilianoNakuona queen of DP
?


