Hivyo hivyo, wanaume wasiku hizi eti na wao wananuna Kwa wake zao haaaaNi kuchepukiana mpk Yesu arudi 😹😹
Hivyo hivyo, wanaume wasiku hizi eti na wao wananuna Kwa wake zao haaaaNi kuchepukiana mpk Yesu arudi 😹😹
Watulie dawa iwaingie 😹😹Hivyo hivyo, wanaume wasiku eti na wao wananuna Kwa wake zao haaaa
Watoto 3 nyumbani mmoja wake wawili kazubaa amesaidiwa 😅😅😅Watulie dawa iwaingie 😹😹
Hata nyumbani analika tuuu. Wee unamuacha home, ukitoka tu na yeye anatoka. ila anawahi kurudiMwanamke akifanya kazi na Mwanaume ameisha huyo Haina mjadala haijalishi mke wa mtu hana Mme atalika tu, ukitaka usalama akae nyumbani hayo mengine atayatafta mwenyewe
Ndo maana nikasema akiwa nyumbani,( hayo mengine atayatafta mwenyewe) na zaid akiwa nyumbani Kuna vigezo vinatakiwa viwekwe hata akitoka kujua inakuwa ni wepesi na rahisi zaid, ikiwa hugundui basi udhaifu uko kwako. Kinachoshinda wanaume wengi vigezo hivyo hubana pande zote mwanaume na Mwanamke hapo Mwanaume anashindwa kuviweka kwa sababu vitambana na yeye hapo milango inakuwa wazi.Hata nyumbani analika tuuu. Wee unamuacha home, ukitoka tu na yeye anatoka. ila anawahi kurudi
Binaadamu tumeumbwa na tamaa sema tunazidiana tu na discipline, hata umpe nini kama hana self discipline atadanganyika kiurahisi sanaWakati mwingine hapana. Mjegeje anapata vizuri,matumizi anapata na mapenzi juu ila akitoka kazini au mchana wakati wa lunch anaenda kugawa. Nachoka
Mkuu tafadhari sana nielewe Mimi nimesema tu "vitu napenda kusikia" hayo mengine utajuwa wewe.Mkuu unapenda kuchapiwa? Au kuchapa wa wenzio.
Nyie SI uwa mnaleta mchezo Mimi sinaga mchezo kabisa.Ukipata nafac ya kumfumua mkeo ,mfumue kweli kweli ,fumua mpk Malinda hata usiogope , ukimuogopa ndio wengine wanakomfumua mpk akili zinamkaa sawa
DuuhNimetulia zangu kasehemu fulani uchochoroni hapa Bunju Beach, ameingia mwalimu mmoja hapa na bodaboda guest house, dada kapiga decent na Pete juu na bodaboda namfahamu, ila huyu boda hajaoa, kwa kweli nimesikitika sana.
Kwa kweli wake zetu tukiwa nao mbali sijui huwa wanafanya nini. Hivi hakuna sayansi ya kubaini kwamba katoka kuchepuka? Au inabidi kutupia kale ka GPS ka mchina kwenye mkoba wake kimyakimya kama unafanya car tracking.
Jamaangu Ulimboka nae huko kwenye kampuni yao anasema wadada ambao ni wake za watu wanatunguliwa sana na mabosi wakati wa lunch time. Picha: AIView attachment 3260034
Kumbe unapajua 🚥🏖️Na kweli bunju beach. Ni
Chaka heavy
YeahKumbe unapajua 🚥🏖️
Salamu zakoYeah
YemwaKariri tu "mwanamke mwema halindwi bali hujilinda".
Itakuwa walienda tu kuoga kupunguza joto la mchanaUna uhakika kuwa alienda kukazwa?
Wanawake wengi sana sikuhizi wanaliwa wakati wa mchana au kuanzia saa 5 hivi...muda ambao hutegemeiserious sioni sababu ya kuoa