wake wa viongozi

wake wa viongozi

mabomu

Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
43
Reaction score
7
je mama wetu wa kwanza anawafikia?
 

Attachments

  • WAUKWELI.jpg
    WAUKWELI.jpg
    21.8 KB · Views: 168
Embu muacheni mama wa watu kuna mambo mengi yamechangia,si ajabu angepata opportunities kama zao(nani ajuae) angekuwa mbali.
 
Huyu mama Samora/Mandela huwa namzimia sana always natural..Michele Obama mguu huo anaweza kukulamba teke ukalisikia kabisa!!
 
Katika ma first ladies wa kiafrika, I admire wa Congo kinshasa...
images (3).jpgimages (2).jpg
 
Huyu mama Mandela ni over 60 lakini haonekani kuzeeka!
 
huyu wa ameericani kakomaa je angekuwa anaishi milima ya uluguru loool hapo toka utotoni
ni full bata yupo hivyo!!!!!!!!!!hahahahahaaaa
 
kako pouwa c mbaya bwana . sura yake inalipa sana kuliko huyo wa obama .
angekuwa ana life kama ya ma michelle si angeiva zaidi
 
Back
Top Bottom