Mugishagwe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2006
- 300
- 58
Hapo Berlin balozi wetu nadhani ndugu yake rais wa ZNZ. Na yuko hapo miaka mingi tuu
tukisema Foreign imeoza kuliko BOT tunaambiwa tunafanya fitna.
Bhojo! ulitaka aje nani? labda katumwa na mmewe! huko kuchachawa ni uoga tu wa watz, First lady Shadia yuko peace tu. uwe na amani.
Mkewe ndugu Karume Shady yuko hapa Berlin .Kuna maonyeshoi makubwa sana Utalii yanaitwa ITB na Tanzania wameleta makampuni yapatayo 70.Katika msafara huo wa Zanzibar yuko Mama Shady ambaye sasa kwa status yake Ubalozi hawatulii wana hangaika naye kwa kila hali .Hizi ni gharama na bado sijajua kafuata nini .Kwa mbali napata fununu eti amekuja kuongeza nguvu sijui nguvu kazi kwenye maonyeshao haya .Nimelazimika kuuliza kama kuna mtu anajua labda huyu Mama ni mwajiriwa wa Wizara ya Utalii bara ama visiwani .Vinginevyo nimebaki nashangaa kilicho mleta au labda ana kampuni ya utalii kaja mwenyewe kugawa Brochures nk .
Maoni nadhani huu ni mzigo namatumizi mabaya ya madaraka na pesa ya mlipa kodi .Hawezi kusema kama kushuhudia ufunguzi wa maonyesho kwa kuwa naamini hata kutambuliwa na wenyeji ambao ni Ujerumani hawajui.Ubalozi sasa una kazi ngumu na yeye kaja na watu wake .Mnaojua mambo hebu karibuni mseme kama kuna la maana katika hili atakuwa kaja kufanya kwa hali kama hii .
Tatizo la uongozi wa kikoloni tuliorithi ni kuwa viongozi wetu tumewafanya miungu wadogo. Kwanini matumizi ya ofisi ya raisi yasiwekwe wazi kama mwanzo wa uwazi kwa wizara nyingine?
Naamini watu wa Diplomasia na mambo haya wanasoma hapa mtu atupe undani wa hili tukio jamani .Kitu kinafanyika ?
Hivi mama Karume sii 1st lady kama Mke wa JK? Mbona mama Salma alienda Seol ktk mkutano watu hawakusema?
Haya ndo marupurupu ya kuwa 1st Lady...(Kutoa msukumo ktk kutangaza makampuni Utalii Tz na Zenj???)!
Salma alienda kwenye mkutano .Huyu kwenye maonyesho haya na hivi navyo ongea wame mwandalia dinner kuuubwa na amekuwa mtaani tu anafanya shopping ni hassle kwa Ubalozi na watumishi wa Ubalozi kwa ujumla .Kuna haja gani ya kufanya mambo ya namna hii ?
Salma alienda kwenye mkutano .Huyu kwenye maonyesho haya na hivi navyo ongea wame mwandalia dinner kuuubwa na amekuwa mtaani tu anafanya shopping ni hassle kwa Ubalozi na watumishi wa Ubalozi kwa ujumla .Kuna haja gani ya kufanya mambo ya namna hii ?
mkuu mtu kama huyu sidhani kama iko mbaya kutembezwa na ubalozi..akipata tatizo wa kwanza kulaumiwa itakua ni ubalozi si wengine...
Why all the fuss?
Kwa nini ukimbilie JF na swali kama hili wakati kwa maelezo yako inaonekana na wewe upo hapo hapo ujerumani, si umtafute na umuulize kaja hapo kufanya nini? Sidhani kama JF kuna msemaji wake hapa...The costs involved .
Kwa nini ukimbilie JF na swali kama hili wakati kwa maelezo yako inaonekana na wewe upo hapo hapo ujerumani, si umtafute na umuulize kaja hapo kufanya nini? Sidhani kama JF kuna msemaji wake hapa...
The costs involved .