Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,809
- 156,944
Dar ni jina tu, maisha ya wakazi wake 90% ni ya hovyo sana.Pamoja na hayo yote ila wakazi wa Mbeya wanatamani,wanashauku kuja Dar.
Tatizo ukizoe kuishi Dar unahisi mikoani ni pa hovyo lakini ukweli kwamba mikoani ni patamu ukiwa na pesa.
Arusha
Mbeya
Moro
Kilimanjaro
Hii kwangu ni mikoa bora kuishi hasa kwa hali ya hewa na mandhari yake