Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,331
- 8,254
Ile baridi ya Mbeya inanyima raha aiseeWakazi wa mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam.
Huwa wanatamani washamba ila wakifika jua likiwapiga huwa wanarudi mbeya.Pamoja na hayo yote ila wakazi wa Mbeya wanatamani,wanashauku kuja Dar.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣vipi hao mbu wa Dar jombaa. Dar hao mbu walishawashinda kuwaondoa. Mtu analala ndani ya nyavuIle baridi ya Mbeya inanyima raha aisee
Hapana anko,hapana. Sio kweli kabisa. Joto la huko hatuliwezi wengi wetu,tukija huko ni mambo ya kibiashara au tunapita kwenda Uchina.Pamoja na hayo yote ila wakazi wa Mbeya wanatamani,wanashauku kuja Dar.
Ni rahisi kuwadhibiti mbu kuliko baridi. Uzuri nimeishi kote kote muda wa kutosha, Mbeya kunafaa kusoma tu kwa wanafunzi, lakini sio kuishi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣vipi hao mbu wa Dar jombaa. Dar hao mbu walishawashinda kuwaondoa. Mtu analala ndani ya nyavu
Nitakuja siku moja nione Mkoa wa watu wanao sifika kujinyonga unafananaje.Hapana anko,hapana. Sio kweli kabisa. Joto la huko hatuliwezi wengi wetu,tukija huko ni mambo ya kibiashara au tunapita kwenda Uchina.
Karibu Mbeya
Ilisikia wapi Mbeya wanajinyonga labda Wala mbwa huko IringaNitakuja siku moja nione Mkoa wa watu wanao sifika kujinyonga unafananaje.
Hata mbeya wanasifika kwa kitabia cha kujinyonga
Lakini umekosea kidogo, asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wanaolala nje ni wagogo ama kwa jina la mtaani ni Wananchi (Yanga SC).Wakazi wa mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam.
1. Wanaishi kwenye nyumba zao wakati wakazi wa Dar wanaishi kwenye nyumba za kupanga.
2. Asilimia kubwa ya wakazi wa mbeya wanamahali pakulala wakati wenzangu namimi wa Dar wengine wanalala kwenye mataili na mitalo nyieee.
Kuna takwimu za NBS nimeziona zimenishitua sana. Zimekua vice versa. khaaaa
Si kinyume, huo ndiyo ukweli. Mbeya ni mkoa wenye chakula kingi sana na chakula ndicho muamuzi wa jinsi tutakavyoishi, chakula kikiwa aghari sana tutaishi maisha duni sana na kikiwa rahisi sana kama kilivyo Mbeya tutaishi maisha ya raha sana, hili halina ubishi labda kama kama umeumbika bila mdomo na tumbo. Asilimia kubwa ya vipato vyetu Dar hutumika kununua chakula kwanza lakini kwa Mbeya ni asilimia ndogo sana hutumika kununua chakula kwani vipo na bei ni rahisi sana.Wakazi wa mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam.
1. Wanaishi kwenye nyumba zao wakati wakazi wa Dar wanaishi kwenye nyumba za kupanga.
2. Asilimia kubwa ya wakazi wa mbeya wanamahali pakulala wakati wenzangu namimi wa Dar wengine wanalala kwenye mataili na mitalo nyieee.
Kuna takwimu za NBS nimeziona zimenishitua sana. Zimekua vice versa. khaaaa
Ndivyo ilivyo kwa wazungu wanatamani, wanashauku kuja Afrika.Pamoja na hayo yote ila wakazi wa Mbeya wanatamani,wanashauku kuja Dar.
Oa mke kijana.Naitaji mwenyej nije dar mbeya baridi kaliii
Karibu anytimeNaitaji mwenyej nije dar mbeya baridi kaliii