Wakazi wa Mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
5,996
7,756
Wakazi wa Mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam.

1. Wanaishi kwenye nyumba zao wakati wakazi wa Dar wanaishi kwenye nyumba za kupanga.

2. Asilimia kubwa ya wakazi wa Mbeya wanamahali pakulala wakati wenzangu namimi wa Dar wengine wanalala kwenye mataili na mitalo nyieee.

Kuna takwimu za NBS nimeziona zimenishitua sana. Zimekuwa vice versa. khaaaa
 
watu wa Mbeya alie waambia muuze supu ya kitimoto ni nani? nilipga supu moja uyole sijui njia ya kwenda tukuyu/kyela sitakaa nirudie mimi
 
Hapana anko,hapana. Sio kweli kabisa. Joto la huko hatuliwezi wengi wetu,tukija huko ni mambo ya kibiashara au tunapita kwenda Uchina.
Karibu Mbeya
Nitakuja siku moja nione Mkoa wa watu wanao sifika kujinyonga unafananaje.
 
Mbeya ni kijiji tu kilichochangamka...

Mbeya hela ipo na mzunguko upo tatizo watu wake bado hawajaendelea sijui shida ni nini..
 
Wakazi wa mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam.

1. Wanaishi kwenye nyumba zao wakati wakazi wa Dar wanaishi kwenye nyumba za kupanga.

2. Asilimia kubwa ya wakazi wa mbeya wanamahali pakulala wakati wenzangu namimi wa Dar wengine wanalala kwenye mataili na mitalo nyieee.

Kuna takwimu za NBS nimeziona zimenishitua sana. Zimekua vice versa. khaaaa
Lakini umekosea kidogo, asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wanaolala nje ni wagogo ama kwa jina la mtaani ni Wananchi (Yanga SC).
 
Wakazi wa mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam.

1. Wanaishi kwenye nyumba zao wakati wakazi wa Dar wanaishi kwenye nyumba za kupanga.

2. Asilimia kubwa ya wakazi wa mbeya wanamahali pakulala wakati wenzangu namimi wa Dar wengine wanalala kwenye mataili na mitalo nyieee.

Kuna takwimu za NBS nimeziona zimenishitua sana. Zimekua vice versa. khaaaa
Si kinyume, huo ndiyo ukweli. Mbeya ni mkoa wenye chakula kingi sana na chakula ndicho muamuzi wa jinsi tutakavyoishi, chakula kikiwa aghari sana tutaishi maisha duni sana na kikiwa rahisi sana kama kilivyo Mbeya tutaishi maisha ya raha sana, hili halina ubishi labda kama kama umeumbika bila mdomo na tumbo. Asilimia kubwa ya vipato vyetu Dar hutumika kununua chakula kwanza lakini kwa Mbeya ni asilimia ndogo sana hutumika kununua chakula kwani vipo na bei ni rahisi sana.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom