Wakazi wa Mbagala tuna tabu

Wakazi wa Mbagala tuna tabu

Kwani mbunge wa mbagala anatoka chama gani? Na kwanini hatatui hili tatizo
 
Mm nadhani shida kubwa ipo kwenye usimamizi wa mkandarasi, kuna mda anajenga then baada ya siku ya 2-3 anabomoa af anaanza upya kama hajiamini na kazi yake ka imefika kiwango bora
 
Mimi naomba kama kuna wakazi wenzetu wa mbagala tusimame tuwe kitu kimoja juu ya adha ya usafiri....
tupaze sauti zetu kupitia majukwaa ya jamiiforum mpaka tweeter ili serikali walione Hilo maana kama ni adhabu basi huku mbagala imefika shingoni
 
Mimi naomba kama kuna wakazi wenzetu wa mbagala tusimame tuwe kitu kimoja juu ya adha ya usafiri....
tupaze sauti zetu kupitia majukwaa ya jamiiforum mpaka tweeter ili serikali walione Hilo maana kama ni adhabu basi huku mbagala imefika shingoni
Kabisa eti wakati mwingine trafiki wanasimama na kuangalia tu hawaongozi magari kama vile wamezira jmn!

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kupata maelezo ya adha hii waulize wakazi wa Kibamba,Mbezi na Kimara adha waliokuwa wanaipata wakati wa ujenzi wa mradi wa mabasi ya mwendo kasi,ilifikia mahali mpk unaona kuishi Dar ni adhabu.Sijui kama wakandarasi wa huko watakuwa na njia mbadala ya kutatua hilo tatizo...
 
Mbagala hakuna shida usituharibie jina letu zuri
1. Mbagala utumbo wa ng'ombe Ni elfu tatu,

2. Mbagala maji Ni mengi sana hata DAWASA hatuna shida nao, ukichimba kidogo tu unakunywa maji.
3. Magengeni na masokoni hakuna Tena Dar kwenye vitu rahisi Kama Mbagala.
4. Mbagala guest house self yaani choo na bafu humo humo Ni buku tano Hadi kumi. Vyumba vya kawaida Hadi buku tatu unapata, short time Ni buku yako au mbili unapata burudani na Dada utamu.
5. Mbagala chumba Cha kupanga ni kuanzia elfu kumi ukitaka Cha heshima sana 20k.
6. Mwanamke wa kimbagala hawana complication ktk kuvaa, Madera yake ya kutosha na seheme ya kuongea umbea.
7. Mbagala watu wanaazimana Hadi mawigi.
Nasikia Kinondoni Kuna sehemu wananyoa nywele elfu ishirini, kwa Mbagala hiyo Ni bajeti ya kunyoa miaka kadhaa.
Tunao ijua Mbagala hatuhami.
 
Back
Top Bottom