Wewe
Unafahamu mtume Petro aliuawa akiwa wapi? Unajua mtume Paulo aliuawa wapi? Unajua mtakatifu Ignatius aliuawa akiwa wapi? Petro, Paulo na Ignatius askofu mkuu wa kanisa la Antiokia walikuwepo karne ya 4? Unafahamu mauaji makuu ya wakristo Roma yalitokea mwaka gani, na ni wakati wa utawala wa nani?
Mnalishwa upuuzi, nanyi mnabeba huo upuuzi kama vile hamna akili ya kujiuliza kama mnachoambiwa kina mantiki.
Yaani wakristo zaidi ya elfu 2 wauawe Roma, wakati wa karne ya 1, Petro auwe Roma mwaka 64, Paulo auwe Roma mwaka 67, wakati wa utawala wa Emperor Nero, halafu ukristo uingie Roma karne ya 4! Wewe nawe unajihesabia unajua historia ya ukristo? Hopeless kabisa!! Wewe unajua Emperor Constantin the great alikuwa ni mfalme wa ngapi toka mfalme Nero? Wewe kama una elimu, basi itakuwa ni kwenye mambo mengine, lakini kwenye historia ya ukristo, wewe una zero understanding. Na huenda aliyekufundisha alikuwa mjinga kuliko wewe kwenye masuala ya ukristo, matokeo yake akakurithisha ujinga wake.
Soma angalao hii tu, halafu jihukumu kwa ujinga wako:
Did Nero burn Rome and blame Christians?
A devastating fire breaks out in Rome in 64 AD. According to the historian Tacitus, the Romans think Nero started the fire. To shift the blame, the Emperor accuses the Christians and opens the first in a long series of Christian persecutions. The victims are crucified, burned and fed to the dogs.
Emperor Nero ruled Rome from October 13, 54 AD, to June 9, 68 AD. As the fifth and final emperor of the Julio-Claudian dynasty, he took power at age 16 following the death of his adoptive father, Claudius, and ruled for nearly 14 years before committing suicide at age 30.
Emperor Nero is credited with ordering the martyrdom of Saint Peter and Saint Paul in Rome, between 64 and 67 AD. Following the Great Fire of Rome in 64 AD, Nero blamed Christians to deflect blame, leading to a brutal persecution where Peter was crucified upside-down and Paul, a Roman citizen, was beheaded
Wewe ndiye mtupu kabisa, ni zero kabisa katika historia ya Ukristo. Hujui chochote!!Ukristo uliingia Roma karne ya nne baada ya Mtawala wa Roma Constantine kukubali kuwa Mkristo na kuifanya dini ya Kikristo kuwa dini ya taifa, na kuieneza kwa lazima katika milki yake yote. Kabla ya hapo Roma waliua na kunyanyasa Wakristo, kuwatumia kwenye michezo kwa kuwapambanisha na wanyama wakali kama simba nk. Hata Yesu mwenyewe aliuwawa na askari wa Roma, sio Wayahudi kama wengi wanavyodhani. Waliompigilia misumari na kumtundika ni askari wa Roma, Wayahudi walishabikia tu kwa kelele. Malmala ya kukataa Yesu asiuwawe au kusulubiwa yalikuwa kwa Waroma.
Sasa wengine watakuaje waasi dhidi ya Romans Catholics wakati Waroma ndio walikuwa wauaji wa wakristo kisha "wakaokoka"?