Wakatoliki hawana ubaguzi wako na rational judgment.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,812
Reaction score
40,297
Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
 
hakika...hata wale waliokuwa wanapandikiza hoja ya udini hapa wamepigwa knock out hawana chakusema
 
Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
Huyu jamaa ni Muslim?kama atakuwa Muslim basi ni Muslim poaa..maana mke wake ni pure catholic na anasali 24hrs ..nadhani amewahakikishia waamini wenzake kuwa 'huyu' jamaa hamna kitu ..
N.B: Huyu atakuwa amefuata mila zenu ndo maana mko Radhi nae
 
Majaliwa sio fisadi, hauzi ngada, sio fisadi wala hamiliki meli ya kusafirisha ngada.
 
Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
Correction:
Mwiguli ni K.K.K.T but hoja yako ipo clearly & loud.
 
HAdi mizengo anashangiliwa , hustuki? 🤣
 
Mwigulu siyo mkatoliki ni Mlutheri
Hoja yangu haikuwa mwigilu Bali majaliwa ambaye ni mwislamu na wakatoliki wamempokea vema kabisa unlikely nchimbi ambaye ni mkatoliki ndio nikasema nchimbi anakuwa blanketed na upepo mbaya wa Samia.
 
Correction:
Mwiguli ni K.K.K.T but hoja yako ipo clearly & loud.
Hawajaielewa kabisa hao jamaa Mimi sijasema mwigilu ni mkatoliki ila nimetaja kama mwathirika wa tabia zake binafsi na hasa Kuanzia Yale mashambulizi ya mabonu kwenye mkutano wa chadema Arusha Mika ile.
 
Back
Top Bottom