Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,870
- 828,403
Hakuna uchawa hapo.. Japo kuna mwana kamaindi vibaya sanaAngalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.