Wakatisha tamaa (Downers)

It can be that or as Lizzy said the downers might know I won't pay any heed to whatever they say so they don't bother

All in all there is no single incident I can remember where a person wanted/put me down

kuna 'put down' ya hater...
halafu kuna ile 'ushauri' kutoka kwa baba,mama,bf,gf sio kwa kuwa hataki ufanikiwe
bali anataka kuku 'protect' na maumivu ya kushindwa hivi....
hujawahi na hiyo kukutana nayo??????
 
Bado bwana sijakutana nayo

Hivi kwanini mtu afikiri "nitashindwa"?

Niliyokutana nayo ni ya kinyume na hiyo
 
Nimekutana na downers wengi ktk maisha yangu, to some extent walifanikiwa, ila cku moja nilikuwa naangalia movie moja, nikaona jinsi m2 mmoja alivyovuka vikwazo vya maisha, nilichukua hatua, nikaanza kusonga mbele, nikavuka vikwazo vyote na sasa naendelea na safari ya kuelekea ktk kile nilichelewa kukipata/fanya kwani kila kauli ya kunikatisha tamaa itolewapo huichukua na kuchekecha kwa kujiuliza, why aniambie hv? Ameona nini kwangu? Then humuuliza je km siwezi hili unadhani naweza nini hasa? Then husonga mbele...! Ktk maisha unatakiwa ujiwekee malengo ya mda mfupi na mrefu na unaposhindwa kuyatimiza jiulize ulikwamishwa na nini/ nani? Then unachukua hatua...usikubali downers wakushushe morali mana ukikubali husimama pembeni na kusema....tulisema sisi hataweza hili na lile...! Ukikwama leo kesho ukiamka sema aluta continua.....mapambano mpaka....!
 
Kweli hawa watu wapo na km mtu haukuwa na maamuzi binafsi na kumwomba mungu wana uwezo mkubwa wa kukucheleweshea mambo yako,ilimtokea baba yangu, kuna mjomba angu ambaye ni mwalimu wa primary,na mkewe pia na wanae watatu wote ni walimu mpaka sasa nilipofaulu kwenda nilipofaulu kwenda form five akamshauri baba asiruhusu niende form five kwa vile nitafeli mtihani wa form six so anipeleke chuo cha ualimu km ni kujiendeleza nijiendeleze baadae baba akaja hm na huo ushauri tukakaa watatu pamoja na mama yani ile anamalizia kuhadithia tu mama akasema ni lmz niende form five na mie nikamhakikishia baba lzm nitafaulu na kwenda university basi wazazi wangu wakanitia moyo kuwa km tangu primary nafaulu kwann na form 6 nisifaulu,baada ya pale anko akawa anachonga sn kwa ndugu kuwa nitafeli,mungu ni mwema nikafaulu vizuri sana mpaka anko akaomba msamaha kwa kauli zake,hawa ni wabaya na mtu yoyote asiwape nafasi.
 
Bado bwana sijakutana nayo

Hivi kwanini mtu afikiri "nitashindwa"?

Niliyokutana nayo ni ya kinyume na hiyo

something is not right..
ama hukuwa ambitious..that much
au upbringing yako ilikuwa na utofauti...
for a tz girl....downers are guaranteed...
 
something is not right..
ama hukuwa ambitious..that much
au upbringing yako ilikuwa na utofauti...
for a tz girl....downers are guaranteed...

Hahaha Boss bana!

In my humble upbringing it's a taboo to discuss how ambitious or successful a person is; so I will leave that as it is

I don't understand that "downers are a guarantee for a tz girl" how? Why?
 
kwani unafikiri why kuna 'viti maalum'
na kauli mbiu za kuwa up lift???? 'wakiwezeshwa' wanaweza

bila kuwezeshwa????hawawezi??????
 
kwani unafikiri why kuna 'viti maalum'
na kauli mbiu za kuwa up lift???? 'wakiwezeshwa' wanaweza

bila kuwezeshwa????hawawezi??????

Mie hiyo kauli mbiu wala siielewi inafanya kazi vipi, na sijawahi kuona umuhimu wake.

Sihotaji kuwezeshwa, ninaweza sana tu kwa uwezo wangu binafsi

NB: viti maalum napendekeza vifutwe mara moja
 
watu wengine wanafanya makusudi tu ili uwe standard sawa ya maisha kama wao.
 
Kuna always kazi yao ni kukosoa tu, wanaku-underestimate ila wao waonekane dominant...be careful with those people. Ninao hapa mapacha majirani, mmoja anamkandamiza sana mdogo wake mpaka sasa dogo anatishia kujinyonga na anamlaumu sana maza-ake

Wow...that's bit much!!
Huyo mama anafanya nini sasa kumtoa huyo mdogo kwenye hiyo situation???
 
something is not right..
ama hukuwa ambitious..that much
au upbringing yako ilikuwa na utofauti...
for a tz girl....downers are guaranteed...

Mhhh I don't think so....
Kama wazazi wako sio downers na ndugu/marafiki zako nao wameridhika na yao hawawezi kuhangaika kukushusha. Na bahati ukienda kwenye shule yenye walimu vile vile...hakutakua na ''huwezi'' bali unaweza hivyo ongeza bidii.
 
Lizzy naona hao kwangu wamejistukia, hawasogei! nawasikia kwa wenzangu tu...tena washindwe na ukiona mtu anakwambia huwezi ujue ameshajua unaweza so anahofia a mafanikio utakayoyapata...
 
kuna downers ambao ni ndugu na marafiki
and the mean well.....mfano unataka kuacha kazi ili ufanye biashara...ukifanikiwa utakuwa so successfull
but ukishindwa utaanza tena kuwaomba msaada wa kukutafutia kazi..
so wengine watakwambia usiache kazi,biashara sio shughuli ya uhakika....sio kwamba hawakupendi
au hawataki ufanikiwe....but wana hofu tu future yako...
 
Boss hapa tunazungumza watu wa tajiriba tofauti, wengine maamuzi magumu zaidi kwao was to chose between Peep-Toes and Boots!

Unless unazingatia enzi za walipokuwa wanakuwa, ambapo walitakiwa tu kufanya vizuri mitihani, and at most to try different things to follow their hobbies and ambitions
 
Lizzy naona hao kwangu wamejistukia, hawasogei! nawasikia kwa wenzangu tu...tena washindwe na ukiona mtu anakwambia huwezi ujue ameshajua unaweza so anahofia a mafanikio utakayoyapata...

Kinda like me...I exude so much confidence that haters don't even dare.

But there are a few knuckleheads out there who will try you no matter what.
 
Kinda like me...I exude so much confidence that haters don't even dare.

But there are a few knuckleheads out there who will try you no matter what.

UKIJIKUTA uko ndani ya list na Beyonce...for ten minutes...
kitu gani utafanya ???? lol
 
UKIJIKUTA uko ndani ya list na Beyonce...for ten minutes...
kitu gani utafanya ???? lol

I'm never the one to be star struck. So I wouldn't do a damn thing.

The question to ask is what would she do if she were to bump into me somewhere?
 
Wow...that's bit much!!
Huyo mama anafanya nini sasa kumtoa huyo mdogo kwenye hiyo situation???

Mama analialia tu, kadai mwenyewe dogo ndo alichezea ujana kwani hakumaliza form 4...ny maisha yanaendelea lakini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom