Wakati wee uki-suffer eti vyuma Vimebana....

Dampa

JF-Expert Member
May 29, 2017
810
1,263
Kuna mimtu huku ina enjoy uwepo wa pumzi daily somewhere maninah mzungu .
....
umbavu kabisa aliyedesign hiii kitu...
 

Attachments

  • 27973007_1989614231255938_4514607349633394234_n.jpg
    27973007_1989614231255938_4514607349633394234_n.jpg
    131.6 KB · Views: 87
Huyu Mtoto Je?
9d956cb45fd64f89e4c13ab4892c95a6.jpg

Hahahahaaa nimeona tag ya Rand 22 na 29 kule nyuma, wa South Africa ni shida asilimia 80 wote wako hivo. Mwanzoni mwanzoni nilipofika nilikuwa nikienda restaurant au supermarket lazima atokee mtu aniongeleshe kilugha chao sass mie nikawa nabaki excuse me.... like I don't get you... or come again. .. sijui kwanini walikuwa wanafikiri na mie ni mwenzio wakati hata sifananii nao heheheh.

Siku hizi nshazoea. ....

Sawubona. .....

Unjani. ....

Dumela. ....

Aweeh. ...
 
Duh hatar sana...mzungu nyoqro mno
Nipo nawaza hivi viti vimeshikiliwa na nini hapa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom