[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi kitu ambacho siwakubalii wazungu ni mahali pazuri kama hapo halafu kwenye sahani kuna kipande cha ka keki na kajuice ka limao
Maneno ya watu wasio taka kupambana Na maisha.Tutafute pesaa.Tuache wivuLakini IPO siku watarudi na watachanganyika na mavumbi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaaaManeno ya mtu aliyekata tamaa
mawazo ya waliokata tamaa kwako wewe usawa ni kwenye kifo tu [emoji16][emoji16].Lakini IPO siku watarudi na watachanganyika na mavumbi.
Be positive nigga, push it till no breathe!! Ukianza kuwaza kama hivi basi huna sababu ya kuishi.Lakini IPO siku watarudi na watachanganyika na mavumbi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu Mtoto Je?![]()
Kuna mimtu huku ina enjoy uwepo wa pumzi daily somewhere maninah mzungu .
....
umbavu kabisa aliyedesign hiii kitu...
Pole.****Be positive nigga, push it till no breathe!! Ukianza kuwaza kama hivi basi huna sababu ya kuishi.
Hapo kwenye censorship uliandika nini?Pole.****