Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 768
Nadhani kwa tuliyoyaona jana pale viwanja vya posta kijitonyama ni dhahiri kusema umefika sasa wakat wasanii wafaidike na kazi zao na waishi maisha halisi,wame fake imetosha ni wakati wa wao kupata kile walichokitumikia kwa muda mrefu.
Kiufupi Clouds imewapa wasanii na watangazaji majina makubwa lakini imefanya waishi maisha fake kwa kuwanyonya kwa muda mrefu sasa njia imeanza kuonekana kwa bwana mdogo mwanamapinduzi Baba Lao,kuleta show yake na kuwa kubwa vile aisee wengine tumefurahi sana.
KIKUBWA
- Waache kukumbatia wasanii wapige show sehemu itayomlipa vizuri sio huyu wa clouds mara huyu wa wasafi .
- Diamond ajipe muda kama anavowapa wenzie ili isionekane show ni yake peke yake ili kuleta usawa.
- Babu tale aache kauli za kutengeneza bifu za wasanii mfano mwaka jana alimtusi Fid Q kitu ambacho kitamnyima uhuru wa kupafomu kwa wasafi sababu anaona kama alishakosewa mwanzo.
- Clouds waache chuki mana wanachokichukia ni media ya boss wao vilevile,sababu wote tunajua kusaga ndie mmiliki wa wasafi ila hana uhuru kwa clouds sababu ya familia.
- Wanasiasa wakae pembeni sisi wananchi tucheze mziki na wasanii wetu,sio leo kiongozi fulani anaonekana yupo upande ule sijui huyu kule hapana.
MWAKANI MUNGU AKITUJALIA TUTAKUWA NA
- FIESTA FESTIVAL
- WASAFI FESTIVAL
- MZIKI MNENE FESTIVAL
- TIMES FESTIVAL
- KONDE FESTIVAL
- KINGS FESTIVAL
Ni muda wa wasanii na presenters kupata faida katika kazi zao mana fully kupandishiwa dau katika hizo media.