Wakati wa mimi kusema umefika


Invisible sheria na kanuni zetu zinasemaje kuhusu watu waongo na matapeli kama huyu Tapeli Deus Malya?
 
Last edited by a moderator:
huyo dogo bado anazunguka mbuyu? watu kama hao wanastahili vitasa tu, kanakua kama vile kanasubiri kutekenywa ndio kaongee, im tired of waiting.
 
Hakuna uhusiano wa uzi na maelezo,weee dogo hiyo dhambi itakusumbua sana.
 
huyo dogo bado anazunguka mbuyu? watu kama hao wanastahili vitasa tu, kanakua kama vile kanasubiri kutekenywa ndio kaongee, im tired of waiting.

Ha ha ha ha kajamaa hakana jipya kabisa
 
Love u too darling.....nimekumisije sasaaaa!
B2T, jamaa kashasema au bado anafikiria hadithi ya kutoa?!
Hebu twenzetu PM mke wake ODM

Nimechoka kukumisi bhana.
 
Hebu twenzetu PM mke wake ODM

Nimechoka kukumisi bhana.

Yaani mme wangu mwenyeweee uliyebakia hebu njoo kona maana hata yale matarakimu niliyapotezaaaa!
 
Dogo anatafuta sifa za kijinga,haya endelea dogo.
 
Kweli unaogopa hata ulichosema unataka kusema umesahau acha woga.
 
Time will tell.....Siasa haimuachaji mtu salama..mtatajana tu
 

Hahahaaa! acha uoga mwache aseme..Ingekuwa inmuhusu waziri usingependa kusikia???
 
Ni wewe RC wa Simiyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…