Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Piga gereji za kutosha nimekuwa konda sana mpaka nikaweza endesha gari nilijifunza kupitia hapo hapo baadae nilifanikiwa kupata leseni nikaenda piga mishe za udereva haice bado ilikuwa changamoto japo nashukuru mubebe alikuwa akinisapoti sana

ye aliwahi kuajiriwa mapema japo sikutaka awe na wasiwasi na huzuni na Mimi maana alikuwa akijitoa sana pindi Niko final year ukicheki hana baba hana mama wote tulijuana orphanage ktk mkoa x mapenz yalianza toka tuko msingi daah kweli nilikuwa baharia mdogo .

mi koz yangu ilikuwa ya miaka minne ye mitatu alipomaliza akapata bahat ya ajira baada ya chuo nikaamua niende mkoa x kutafuta life hakupenda uamuzi wangu wala sikumuaga na nilikuwa simtajii nipo wapi dah nimepiga dayworker sana hapo nishamaliza chuo

Kupiga pasi ndefu kwangu ilikuwa kawaida nakunywa chai nzito na cha usiku nilikuwa nakula kiporo cha ugali nauchoma na chai na viazi vitamu vya kuchemsha hapo nimechimba kwenye shamba la watu

Kupiga rondo au kutembea kwa miguu usiseme mpaka kuota masagamba sikuwaga na nauli mpaka kobazi zikaisha ila nilikuwa navaa hivohivo kibishi

Nilikuwaga na suruali mbili na mashat matatu in short nilizoeleka na zile nguo kuna shati nlikuwa navaaga wananitania shati LA kijiji maana hilo hilo nilikuwa nikionekana nalo kwa sana ama kweli nilidharaulika

Nilipanga nyumba haina umeme in short haijamalizika vzur bomba pia LA maji halijavutwa ila kulikuwa na kisima kwahyo getho ni mwendo wa kibatali siku nyengine nala nje kwenye baraza la jiran kufata mwanga sometimes akiniona barazani anazima taa au napika maeneo ya nje ambao mwanga unafika nikikosa hela ya maftataa yaani kulala Giza ilikuwa kawaida

Nyumba yenyewe madirisha jamaa hajaweka wavu ameweka nondo ikabidi nizibe na safleti sasa hao mbu walinipiga doso kisawasawa plus baridi sina godoro nalalia hzo nguo zangu chache kuna siku sikuonekana nje siku nzima kumbe Niko ndani naumwa yalikuwa malaria ktk vitu nilivyojifunza Cheka na kila MTU tenda mazur kuwa mtiifu ata kama Fulani anakushambulia sababu kuna vijana na watu walikuwa wakinikubali walikuwa hawanioni wakapata wasiwasi wakachungulia ndani wakaniona ktk ile hali walinisaidia kunipeleka hospital

Mtaani kuzushiwa wizi na kina mama,Dada,baba majirani ambao Niko nao karibu kuitwa kwa mwenyekiti daah we acha tu na Yale manywele yangu yamekuwa makubwa hayana afya sina ela ya kunyoa ukicheki na nguo zimechanika utasema muhuni

Kwenda kusaidia wavuvi kuna kipindi ngalawa au chombo chetu kilipigwa na wimbi yaani tulijua tunakufa tukaanza kutoa maji na visada we acha tu .ukitoka hapo unapewa buku mbili na kisado cha uono

Maisha yalivyonizidi nikasepa nikadandia fuso yaani kweli nilikuwa mpuuz nadandia fuso litakaponipeleka ndo hapohapo na kifuko changu cha nguo (zile adidas za mgongoni) nilishawahi fika mpaka huko singida mpaka shinyanga nilikuwa nalala stendi asubuh kazi na kutafuta vibarua nakumbuka kuna mzee nilizoeana nae hapo shy mjini akanikaribisha kwake nikawa House boy

Daah hiyo mikazi ni balaa baadae akanipa baiskeli niwe bodaboda nimletee ela ( boda boda za baiskeli ) sjui kama sahiv zipo mkoa kama dar hamna na tanga zilikuwepogo nilikuwa shy twn

Ila kuufatilia magezeti kuuliza connection na wale niliosoma nao nilikuwa sichoki baadae nikasave save nikaanzisha genge lilinipa ela sana nikaeka na kibanda cha chipsi pemben pia nikamwambia mke wa yule mzee awe anatengeneza juice nimuuzie hapo tayar nishajichomoa kwake nilipata faida sana

Mungu hamptupi mja wake nikapata nafasi kwenye kampuni x INA deal na mambo ya agribusiness genge na mtaji nikamuachia mzee nikamwambia undugu kufaana sio kufanana nikapotea shy na nauli na faida tu hapo ndo nilijiwekaza sana kwenye Hio kampuni sikufanya makosa inaitwa fungulia mbwa nilikula mema ya nchi halafu siku narudi natoka shy nakutana na mpenz wangu namuhadithia alilia sana na alinilaumu sana kwa nn sikutaka msaada wake wakat huo na yeye alipiga hatua sana mi baharia nilikuwa napigika tu

Nb: kama ningejua yaan kama ningejua nisingekubali kuajiriwa pale kwenye ile kampuni bora ningepiga mishe zangu hapo hapo paliniletea maumivu kuliko kote ...the rest is history

Nowdays Niko good sina shida sina stress laifu linaenda

Sent using Jamii Forums mobile app

And yes kujibu swali la Uzi nishawahi kuwaza niwe jambazi nitumie silaha kama panga visu nk
Nimekuelewa sana baharia,je huyo mwanamke upo nae mpaka leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mda hua na wish nikuone

dah huu uzi umenikumbusha mbali sana nilipojikusanya kwenda kufata mercury nyekundu milimani huko morogoro kisha kuisafirisha mpaka congo huko dah nkikumbuka njia nilizopitia mpka inafika congo si kitoto hapo nmeshauza kila kitu ghetto nikitarajia umaskini ndo bai bai dah nafika congo baada ya week 2, dah namfikishia mzigo tajiri sina cent alafu ile tajiri kuuona tu mzigo ananambia ni fake dah pale pale nilizima,kuja kuamka siku ya pili sema nilipiga konde na kujifunza mengi sana kuhusu ile nchi hakika kuna pesa nyingi,kwani wenzetu wengi huwa wanaweka akiba ya dhahabu na siyo pesa kama tufanyavyowengi,siku naondoka nikapewa kiasi fulani cha usd na kiasi kidogo cha dhahabu japo chote nlikiacha boda ,dah maisha haya ila bado tunapambana tumepitia mengi sana kiasi cha kufikiria kumuandikia mwanangu kitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nini uliacha boda?

Mkuu,boda walikunyang'anya au ilikuaje?

jamaa huwa una visa vya kusisimua sana.ile story ya kung'atwa sikio na lile jitu huwa inanisimua
 
Kuna kipindi nilipigika mpaka nikawa sielewi kesho yangu itakuwaje, basi asubuhi moja nikaenda zangu uwanjani kwenye mazoezi kama kawaida, nilipomaliza akanifuata mshkaji mmoja tunafanya nae mazoezi amezoea kuniita sister T, akaniambia natafuta mdad wa kazi za nyumbani! Nikamuuliza mshahara na kazi zake nikamwambia ngoja nikutafutie then ntakupa jibu...

Nikarudi home nikawaza weeee, kazi za ndani nikafanye ya kwenda na kurudi mpaka hapo nitakapopata uelekeo, basi nikamtext mshkaji kumuuliza kama wanahitaji wa kwenda na kurudi akasema hakuna shida maadam mke wake yupo home maana ndio ametoka kujifungua...

Nikamwambia basi mimi nipe hyo nafasi! Kwanza alimute alafu baadae akapiga kabisa na kuuliza, upo serious? Una tatizo gani? Kwa nini umeamua hvyo? Nikajieleza pale akasema hapana, siwezi kukuweka wewe uwe mtumishi wangu aisee! Nilisononeka pale lkn baada ya wiki akaniambia kuna mahali amenitafutia kwny duka la rafiki yake nikajishikize kwa muda mpaka mambo yangu yatakapokuw sawa!! Nikavuka
Wewe jasiri mkuu, ni wale tu wenye uthubutu kama wewe ndio huvuka viunzi. Mara nyingi hudharaulika wanapofanya kazi za chini kama hizo lkn baadaye wale wanao wadharau huja kuwasalimia kwa heshima baadaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo boda mlikuwa mnakaguliwa nini ? Ungeificha hata kwenye puru Hio dhahabu
dah huu uzi umenikumbusha mbali sana nilipojikusanya kwenda kufata mercury nyekundu milimani huko morogoro kisha kuisafirisha mpaka congo huko dah nkikumbuka njia nilizopitia mpka inafika congo si kitoto hapo nmeshauza kila kitu ghetto nikitarajia umaskini ndo bai bai dah nafika congo baada ya week 2, dah namfikishia mzigo tajiri sina cent alafu ile tajiri kuuona tu mzigo ananambia ni fake dah pale pale nilizima,kuja kuamka siku ya pili sema nilipiga konde na kujifunza mengi sana kuhusu ile nchi hakika kuna pesa nyingi,kwani wenzetu wengi huwa wanaweka akiba ya dhahabu na siyo pesa kama tufanyavyowengi,siku naondoka nikapewa kiasi fulani cha usd na kiasi kidogo cha dhahabu japo chote nlikiacha boda ,dah maisha haya ila bado tunapambana tumepitia mengi sana kiasi cha kufikiria kumuandikia mwanangu kitabu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi na x wangu tulimaliza chuo pamoja na wote tukawa tumefulia kipindi hatujapata kazi, kuna siku (Mpaka leo najuta sana) nilimwambia ajipeleke kwa x wake wa zamani ili mradi tupate kupitisha siku, maisha haya tunapitia mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yana changamoto nyingi sana na nyingine ni ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom