Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Maisha haya nyie acheni nakumbuka nimemalixa chuo nasubir post halafu mfukoni sina kitu .....kila unapoenda kutafuta kujisikiza wanataka uchi kwanza!!

Kuna dada tulikuwa nao mtaani jioni wanachomoka ....asubuh wanarudi wako vxuri nikawaambia wanisaidie kupata kazi

Wakaniambia kazi ipo vizano hotel ..mmmh kufika kumbe wanafanya kazi ya kujiuza .....halafu kuna mwarabu akawa ameniganda kweli si jui alihic mi mgeni maeneo yale yaani niliondoka kwa miguu hadi nyakato meko

Kesho yake nikatafuta kazi ya kuhudumia kwenye migahawa maeneo ya pale nundu...nikafanya kama miezi miwili nikapata ajira xikatoka ndio nikawa nimevuka du

Sent using i phone x

niko nyakato hapa. Taja location nije nkusalimie nkupe pole
 
Samahan sana wadau nimechelewa kuchangia huu mjadala heavy asikwambie mtu maisha kuna kipindi yanakaza kiasi mtu unanyongorota kabisa km sio kupinda kuna kkipindi nilipewa tender ya kulinda shule aisee ile kaz km huna chale itakoma yaan kuna kipindi usingiz unakuchukua unasikia km kuna mtu anakutikisa uamke unaamka huonk mtu mara unasikia nje kuna mtu anakuita unachungulia dirishan huoni mtu kuna siku nilizabwa vibao na mtu nisiyemuona toka siku nikaacha
Mkuu uliota wew
 
Sasa huu ni msoto?
We yaelekea wa kujidekeza sana
IT zimechinja watu kaka acha kabisa, nmeshuhudia vijana kadhaa wamekula mizinga njiani huko kutoka Moro, Iringa, Mbeya ilikua balaa sabu safari mara nyingi ni night na speed wanagonga mpaka zaidi ya 120km/hr..

Sema mwamba katupiga hiyo siyo kazi ya AJABU ni kazi ya kiume tu tena u dereva kama dereva wengine wenye maisha yao..
 
Kupiga debe/ukonda

Ova
Sio kazi ya ajabu hii, u konda mbona ni kazi nzuri tu na kuna vijana wametoboa kimaisha kuliko hata waajiliwa wa serikalini kupitia hii kazi tena siku hizi kuna ma kondakta wanavaa mpaka suti na tai fresh kabisa..

Mfano wa kazi za ajabu hapa ni kama mtu na akili zako timamu unaanza kuokota makopo, vyuma chakavu na unaenda kuuza ili upate chapaa ya kuvushia siku yako, hii kazi ni ya ajabu sabu imezoeleka wanaofanya hivi ni wale vichaa, watu ambao channels zimeanza ku scramble kumkichwa so ikionekana mtu na degree, cheo au heshima yako unafanya kazi ya kuokota makopo ni totally weird na lazima watu washangae..
 
Back
Top Bottom