Siyo country ni kantri.Habari JF,
Nimeona niwakumbushe Watanzania wenzangu maana asilimia kubwa tumezoea kushabikia vitu visivyo vya msingi. Triloni 360 ni pesa nyingi sana zinaweza kututoa tulipo kuwa donor country.
Hivyo tusiishie kushare video na kucheka bali ni vizuri tufuatilie kwa umakini tuone muenendo wake zisije ishia kwa wenye mifuko mipana.
Hawakuomba ridhaa ya Bunge kuachana na hizo hela....Habari JF,
Nimeona niwakumbushe Watanzania wenzangu maana asilimia kubwa tumezoea kushabikia vitu visivyo vya msingi. Triloni 360 ni pesa nyingi sana zinaweza kututoa tulipo kuwa donor country.
Hivyo tusiishie kushare video na kucheka bali ni vizuri tufuatilie kwa umakini tuone muenendo wake zisije ishia kwa wenye mifuko mipana.
Si bora huyo hata kama alikua na ndoto za alinacha, alidhubutu kuwa na ndoto za namna hiyo kiliko hawa tulio nao hawana ndoto za namna yoyote.Madai ya TZS 360Tn katika lile suala la makinikia yalikuwa yanakosa uhalisia. Ni kama vile Tundu Lissu alivyoiita ripoti iliyotoa ushauri uliopelekea madai hayo kuwa ni "professorial rubbish"
Prof. Osoro na timu yake pengine kutokana na hadidu rejea za ajabu alizopewa na JPM ndipo akalazimika kuja na "recommendation & conclusive remarks" za madai ya fedha hizo. Kitu cha ajabu ni pale serikali ilivyoipokea kwa mbwembwe ripoti ile, huku ikishindwa kutambua ukweli kuwa thamani ya madini yalipo ndani ya makinikia baada ya mchakato wa kuchenjuliwa haiwezi kuwa kubwa kiasi hicho.
JPM alitumia hisia zaidi ya kutazama suala husika kiuhalisia. Ndiyo! Alikuwa na tamaa kubwa sana ya maendeleo, lakini alijikuta akiishi ndani ya matamanio ya kufikirika kutokana na ndoto zake za alinacha.
Tumeliwa Sana Ndugu ZanguIla Mzee baba na Jamaa wa Jalalani walitupiga pakubwa na hii dili.
Tanzania ilipata bil 700 ambayo haikuwa nazo juzi, imepata hisa barrick ambazo hazikuwepo kabla, hata JPM alikuwa anajua hamna mtu atakayetoa tril 360 lkn alkuwa akiwavuta wake wakutane sehemu fulaniGazeti la economist la marekani walitukejeli Sana wakidai kuwa kiwango hicho cha pesa cha trillion 360 ni zaidi ya budget ya NASA....ndoto za mchana za magufuli zilitupeleka puta
700Bn/360Tn = 0.19%Tanzania ilipata bil 700 ambayo haikuwa nazo juzi, imepata hisa barrick ambazo hazikuwepo kabla, hata JPM alikuwa anajua hamna mtu atakayetoa tril 360 lkn alkuwa akiwavuta wake wakutane sehemu fulani
Hivi unajua ukubwa wa hizi tuhuma?Tanzania ilipata bil 700 ambayo haikuwa nazo juzi, imepata hisa barrick ambazo hazikuwepo kabla, hata JPM alikuwa anajua hamna mtu atakayetoa tril 360 lkn alkuwa akiwavuta wake wakutane sehemu fulani
Tunao vijana wajinga sana nchi hii. Wale wenye influence na kuweza kupata wa kuwasikiliza wamejawa na mambo ya kipuuzi.Kwa wabongo ndio imeisha iyo na soon inaweza kutungiwa wimboView attachment 2366142
Na ungejua kama taifa, ni kitu hatari sana kuwa na ndoto za alinacha usingeandika hivyo.Si bora huyo hata kama alikua na ndoto za alinacha, alidhubutu kuwa na ndoto za namna hiyo kiliko hawa tulio nao hawana ndoto za namna yoyote.
Mwenye mashaka na uwongo wa marehemu, mtafute Mruma privately akueleze kilichotokea.Madai ya TZS 360Tn katika lile suala la makinikia yalikuwa yanakosa uhalisia. Ni kama vile Tundu Lissu alivyoiita ripoti iliyotoa ushauri uliopelekea madai hayo kuwa ni "professorial rubbish"