Wakati nchi ya jirani imerekodi visa 15,601 vya korona, Tanzania inapaswa kuchukua tahadhari kwenye mipaka yake

Vaccine ya Covid-19 ipo karibu kupatikana na wanasayanzi katika chuo kikuu cha Oxford, UK. Uvumbuzi waweza kukamilika hata kabla ya mwaka huu kuisha, lakini inchi kubwa kubwa za US na Ulaya zimelipia hiyo kinga tayari. Zimebook mamilioni ya doses. Itakuwa vigumu kwa inchi za kiafrika kupata sehemu ya hio kinga hivi karibuni.

 
Mtarban,

Wakenya siyo wa kuamini mkuu. Wana asili ya kucheza na nyakati. Nadhani hiyo ni maksudi wali wapate misaada toka kwa mabeberu.
Labda kama wangezua ugonjwa mpya, maana corona hata hao mabeberu inawasumbua hawawezi kuacha kujisaidia wenyewe wasaidie wengine
 
Hama nchi nenda nchi wanazotangaza wagonjwa wa covid19. Bila shaka nchi hizo wagonjwa wao hawapati maumivu makali kama Tanzania tusiyotangaza au jinyonge usikutwe na covid19
Huyo jamaa Mtz wa ajabu sana, anapiga tu mayowe huku. Si ajabu hata barakoa hajavaa lakini anaimba mapambio ya korona huku.
 
Hata vifo pia wanaficha?
 
 
Hata vifo pia wanaficha?

Miezi yote hii tangu tuanze kuathirika, tumeshuhudia vifo vya watu 200, ni idadi ambayo inaweza ikafichika kama tungekua aina nchi dhaifu kama yenu na ilio na wananchi dhaifu na maskini waliojichokea hadi hawana uwezo wa kuhoji, ila kwa Kenya ni vigumu sana kuficha maana Wakenya ni balaa, watakuumbua tu, yaani rais Uhuru angethubutu kuyafanya kama ya kwenu angekua ashatupiwa nje nje.

Hiki kirusi sio ugonjwa wa aibu, haina haja kuficha chochote wala kuogopa.
 
Unaongeaga ujinga tu sasa Tanzania na Kenya IPI wananchi wake ni masikini? Wananchi wa Kenya hata chakula hawana
 

Mbona hapa JF watz wameshindwa kuonyesha wagonjwa wa korona maana hapa ni huru ,korona imesha poteza nguvu kwenye miili yetu, Wakenya wanashutumu magufuli kuficha korona sasa hata Mkapa naye alificha kuwa anaumwa korona? Wapinzani nao wameacha kuchukua tahadhari je? ni Magufuli kawashikia bunduki, hakuna mtz kazuiwa kuvaa barakoa au kujilockdown na ukumbuke kuwa tz kila kitu kimerudi kama kawaida kwanini korona isiue watu hata 20000 kwa siku ,subirini bado siku chache mabeberu watakili kuwa Tz korona imeshindwa nguvu na kujiuliza way? Ndipo wanasayanyi watakuja kuchunguza how.
 
660 wamesha kufa Kenya hii ni siri serikali yenu ilikaa na kuamua kuficha vifo kwa zaidi ya nusu huu ni ukweli
 
Mchoke mara ngapi?

Tena mshukuru hata janga la corona limewaletea mlango atleast wa kupata hata hela za kujikongoja. Nawashauri harakisheni kuchukua hizo hela na kukopa fasta kwa huo mlango, Maana mkichelewa sijui itakuaje maana corona yenyewe stunt yake ishachuja.
 
Tushajikabidhi kwa Mungu hakuna mtanzania ambaye atakuguswa na corona

Halafu inashangaza sana Afrika ya leo yaani aliyekua rais anaaumwa Malaria na kuondoka hivi hivi tu..... Kwanza nilisoma sehemu hata serikali haikujua anaumwa.
 
Halafu inashangaza sana Afrika ya leo yaani aliyekua rais anaaumwa Malaria na kuondoka hivi hivi tu..... Kwanza nilisoma sehemu hata serikali haikujua anaumwa.
Tena nchi yenye uchumi wa Kati chini. Lakini tupo kwenye program ya kugawiwa vyandalua. Ila sisi bado hatujagawiwa
 
unaweza kuta Tanzania kuna visa laki moja na zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…