Wakati mwingine sio wenye mbio ndio washindao katika michezo ya mashindano

Wakati mwingine sio wenye mbio ndio washindao katika michezo ya mashindano

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
1,966
Reaction score
2,197
Mhu 9:11
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo"",

wala si walio hodari washindao vitani,

wala si wenye hekima wapatao chakula,

wala si watu wa ufahamu wapatao mali,

wala wenye ustadi wapatao upendeleo;

lakini wakati na bahati huwapata wote

INNOCENT
people who are in PRISON.

THIEVES are walking FREE

POOR people who are very happy living Peaceful life.
RICH people who are sick and unhappy
KORONA SARS-covid 19

Asiye na sifa wala uwezo na asiyekubalika kuwa KIONGOZI
na mwenye sifa na uwezo anayekubalika asipate nafasi.

HELL IS EMPTY AND ALL THE DEVILS ARE HERE

images (21).jpeg
 
Back
Top Bottom