Wakati mnawafanyia harassment wamachinga, mnakumbuka habari ya Mohamed Bouazizi aliyesabababisha serikali za kiarabu kuanguaka?

Nyie ndio chanzo cha matatizo. Uaribifu unaofanywa na machinga na mamalishe unaikosesha Tanzania mapato kuliko huruma uliyonayo kwai. Si lazima wewe kuwa sehemu ya taka kwenye mji. Kuchuiza vitu mabarabarani sio suruhisho
Suruhisho ni nguvu ya pamoja ya kuondoa machinga tupate utulive
Sasa subiri uone uharibifu mkubwa utakao kuja kwa hao waliovunjiwa sehemu za kufanyia biashara,tutakabwa saa 2 usiku,wait and see

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Harassment
Watanzania wengi wajinga kama wewe ulivyo mjinga hivi mmesha pewa mda wa kuondoka kwa hiyari tena mda wa kutosha hamjaondoka sasa mlitakaje? Mlitaka muachwe?

Yaana unaambiwa usifanye hiki kwa lugha nzuri kabisa wewe unafanya kama hujasikia halafu ukilazimishwa kuacha unaanza kulalamika ooh naonewa, wewe ni jinga kabisa itoshe kukuita hivyo.
 
Mi nipo tofauti kidogo na wanao watetea hawa machinga

1. Wengi mna angalia recently hamuangalii from the root cause.

Mtu unaenda fanya biashara eneo lisilo sahihi unataka serikali ikusaidiaje? Bytheway kuondolewa ni lazima ila kutaftiwa sehemu rasmi sio lazima maana ignorance of the law haindoi hukumu.

Hawa hawana utofauti na wanao vamia hifadhi ya barabara na kujenga alafu wategemee waje wajengewe na serikali kisa wanaondolewa the fact is wako wrong.

2. Hawa wanatafuta riziki yao lakini wako maeneo yasiyo sahihi, kitendo ambacho kina haribu mpangilio wa miji na kuhatarisha maisha yao.

Mara kwa mara gari zinapo hama njia huwa zinawavaa wao na kusababisha hasara kwa hao hao watoto,mke na tegemezi. Wengine tairi huwa zinachomoka na kuwamaliza.
 
Wapangwe vizuru katikati ya mji na sio kuwatelekeza nje ya mji....New York pia wapo machinga ila wamepangwa vizuri!
Katikati ya mji wapi hasa msiume maneno?.

Barabarani au wapi?.mfano kkoo pale walivojaa unawapanga vipi?
Tuache unafki jmn
 
Kuwaambia waende maeneo rasmi ni harassment? Huu ujinga wa kufanya mambo kiholela ufike mwisho sasa na ile biashara haramu ya kuuza vitambulisho vyenu feki ikome.
 
Mi nipo tofauti kidogo na wanao watetea hawa machinga

1. Wengi mna angalia recently hamuangalii from the root cause.

Mtu unaenda fanya biashara eneo lisilo sahihi unataka serikali ikusaidiaje? Bytheway kuondolewa ni lazima ila kutaftiwa sehemu rasmi sio lazima maana ignorance of the law haindoi hukumu.

Hawa hawana utofauti na wanao vamia hifadhi ya barabara na kujenga alafu wategemee waje wajengewe na serikali kisa wanaondolewa the fact is wako wrong.

2. Hawa wanatafuta riziki yao lakini wako maeneo yasiyo sahihi, kitendo ambacho kina haribu mpangilio wa miji na kuhatarisha maisha yao.

Mara kwa mara gari zinapo hama njia huwa zinawavaa wao na kusababisha hasara kwa hao hao watoto,mke na tegemezi. Wengine tairi huwa zinachomoka na kuwamaliza.
Hii shida yote ilitengenezwa na serikali kupitia awamu iliyopita.Walivyomuja na swala vitambulivyo vya elfu 20 bila mashart ndo lileleta ghasia zote.Serikali iliwaza kisiasa zaidi badala ya kiuchumi na kijamii.kwahiyo ngoja tuone hili zoezi litaendaje na litachukua muda gani kabla mambo hayajarudi tena.
 
Mzee wa Msoga alisha sema za kuambiwa changaya na zako walio jazwa upepo na mwendazake ndo hao wanalia saivi ila kuna machinga wako kariakoo na karume maeneo sahihi kabisa wanafanya kazi zao vizuri
 
Harassment
Sasa unapanga bidhaa za kula binadamu chini, tena juu ya mifereji ya maji machafu, unaziba barabara na njia za wapenda kwa miguu kwa kisingizio unatafuta riziki halafu ukiambiwa husikii dawa yake ni nini? Tena ningekuwa mimi ningewatumia wale wazee wa nguo za mabaka mitaa yote kwa miezi sita...
 
Miji upangiliwe kwanza, sio kuhamisha watu kinyama kabla ya kupangilia.

Watawala wamefanya kosa kubwa kuhamisha kinyemela shughuli za kiuchumi kutoka Dodoma na kuzipeleka Dar ambako mji wake ulibuniwa miaka ya 1890, Mwanza 1892, Arusha 1905, Moshi 1898, Mbeya 1915 nk. Ardhi haiongezeki lakini watu na shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii zinaongezeka kila kukicha hivyo haiwezekani kupangilia na kuacha nafasi huru kwa matumizi ya umma bila bughudha.
Umachinga hata kodi hawalipi, sasa wanachangiaje kiuchumi? Halafu wanawaziba wenye fremu za biashara ambao wana leseni na wanalipa kodi mbalimbali...
 
Pamba fc acheni upotoshaji. Hakuna Machinga kanyanyaswa. Serikali imekubaliana na Machinga kuhamia maeneo rasmi
 
Ccm hamkufanya fair kweli hili la machinga,nyie ndo chanzo cha ukosefu wa ajira nchini kwa kutengeneza mazingira magumu ya watz kumudu maisha.
Mmngewaondoa wa katikati ya mji kama mnaogopa wageni.wa pembezoni mngewaacha.
 
Back
Top Bottom