Wakati mnawafanyia harassment wamachinga, mnakumbuka habari ya Mohamed Bouazizi aliyesabababisha serikali za kiarabu kuanguaka?

Kama Wamachinga wanaona wao ndio wenye haki na Nchi hii waitwae ili wafanye Taifa la Kimachinga.

Wawe wanaenda Saadani Ngorongoro na Mikumi kwenda kuleta nyama halafu wanachomea mishikaki hapo Eapoti.
 
Nchi makini hujengwa kwa masuluhisho ya muda mrefu, hakuna shortcuts kwenye maendeleo.
Hio ni suluhisho ya muda mrefu
Na je una ushahidi kuwa serikali haina hizo sera?

In the interim.,leo
Serikali ifanyeje?.
 
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.

Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.

Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa harassment? Mohamed Boazizi alifanyiwa harassment kama hizi mnazowafanyia wamachinga hivi leo. Mohed Boazizi aliaambia na mamlaka za Tunisia hivi hivi, kuwa anafanya biashara mahala pasipofaa. Mamlaka zilisahau kuwa ana watoto ndugu na jamaa wanaomtegemea.

Mohamed Boazizi alijimwagia Petrol na kujipiga kiberiti. Jambo ambalo lilisababisha serikali ya Tunisia,Libya na Egypt kuanguka.
View attachment 1984517
Kwahiyo unataka kujilipua? Basi sawa.
 
Wanawaonea sana hawa matching Guys (Machinga) ila ubaya ikifika kampeni hawa hawa machinga utaona wananunuliwa na kukubali kupewa vilaki laki wamsapoti mtu alowatimua pakutafutia ugali
 
Huo ndiyo ujinga wanao ufanya hawa machinga.

Wanatema big g kwa karanga za kuonjeshwa
 
Wanasubiri kusoma maandishi ukutani, tatizo ukifanikiwa kusoma maandishi ukutani ndo inakuwa imeisha hiyo............
 
Wacha kujitoa akili ndugu mtanzania mwenzetu
Unadai upinzani hawasikilizwi.,kivipi
Mbona majuzi Zitto katoa maoni yake
Au ye sio mpinzani?

Ifike mahala tuwe wakweli na tuone tatizo lipo na linatafutiwa ufumbuzi
Kama una maoni yako changia

Hata kumuandikia Barua Mh Rais
Unahisi hawataifanyia kazi?sio kweli
Wataipokea na kusoma maoni yako
Tuache lawama kama hatuna suluhu
 
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.

Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.

Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa harassment? Mohamed Boazizi alifanyiwa harassment kama hizi mnazowafanyia wamachinga hivi leo. Mohed Boazizi aliaambia na mamlaka za Tunisia hivi hivi, kuwa anafanya biashara mahala pasipofaa. Mamlaka zilisahau kuwa ana watoto ndugu na jamaa wanaomtegemea.

Mohamed Boazizi alijimwagia Petrol na kujipiga kiberiti. Jambo ambalo lilisababisha serikali ya Tunisia,Libya na Egypt kuanguka.
View attachment 1984517
Sijui tafsiri yako ya neno harassment ni nini hao watu ndio wametukosea sisi kama wananchi tunaolipa kodi na wao kuja kujenga vibanda kama tuko kwenye slums za India na bado wanajifanya ni haki yao..Nimjinga tu ndio ataamini ni haki yao kulialia kipindi hiki.
 
Nafurahi Sana machinga kupitia mateso maana Tanzania imekuwa nchi kundi moja likiwa salama hawana muda wa kutetea wengine.

Kipindi Matajiri wanaitwa mashetani na wezi mlikuwa mnasema watumbuliwe bila kujua wengine walikuwa wanaonewa.

Nataka nione mkiteseka Tena mpigwe haswaa ili tujenge jamii ya kuwa na watu wapenda haki na Jamii osiyofumbia uvunjaji wa sheria hata Kama mko salama.

Ila kwa hili pigweni tu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hapo ndo inapouma.,

Sheria msumeno.,sasa yageuka shughuli pevu
Vyeti feki walishangilia,watu kutumbuliwa walishangilia,
Leo kilio
 
Good question. Nasubiri majob yake
Kupangilia ni swala la ghafla au tunahitaji ufuatiliaji wa kila siku ? Kajenga kibanda ,kaletewa umeme na tanesco ,maji etc ukigundua serikali za chama chako ndo sababu si uwape 2rs bila fidia watoke
 
Machinga na Mama ntilie kosa lao ni kumlilia kwa hisia hayati Magufuli alivyofariki,sasa wamegeuziwa kibao.
Machinga sio tatizo ila ni matokeo ya tatizo sugu la ukosefu wa ajira.
Kwa hiyo kama nchi hapa haitatui tatizo bali inatibu matokeo ya tatizo.
 
Back
Top Bottom