Wakati mnawafanyia harassment wamachinga, mnakumbuka habari ya Mohamed Bouazizi aliyesabababisha serikali za kiarabu kuanguaka?

Una maanisha machinga wabaki hapo hapo walipo?

Au wapangwe kiaje?
Machinga na mfanya biashara, anachotaka machinga kulingana na biashat=ra yake inavyotaka ni kupata sehemu ambayo biashara yake itafanyika kulingana na upatikanaji wa wateja wake
 
Hapa bongo haitakaa itokee hiyo. Kama unabisha jaribu ujimwagie mafuta halafu wahutubie wamachinga wenzako kisha ujichome.

Uone kama mtanzania ataacha kazi zake eti aje kuandamana kwasabb wewe umejiua.
Acha kukariri mambo.sio lazima mtu ajichome moto ila unatakiwa ujue yako mambo mengi chini ya jua yanayoweza kuharibu nchi kufunga macho na kufungua.Nasio lazima yawe maandamano ya watu wengi.Ata uko nchi za wengine nchi zao zilipoharibika lazima kulikua na sababu iliyopelekea wakaharibikiwa.
 
Ataonea wapi wakati keshafia mbele huko.
 
Acha kukariri mambo.sio lazima mtu ajichome moto ila unatakiwa ujue yako mambo mengi chini ya jua yanayoweza kuharibu nchi kufunga macho na kufungua.Nasio lazima yawe maandamano ya watu wengi.Ata uko nchi za wengine nchi zao zilipoharibika lazima kulikua na sababu iliyopelekea wakaharibikiwa.
Hakuna sabab yoyote inayoweza kuharibu nchi hii. Maana watu wake Ni maiti. Hata iamriwe kuwa kila mwananchi awe anachapwa viboko kila asubuhi maiti watatii tu.
 
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.

Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.

Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa harassment? Mohamed Boazizi alifanyiwa harassment kama hizi mnazowafanyia wamachinga hivi leo. Mohamed Boazizi aliaambiwa na mamlaka za Tunisia hivi hivi, kuwa anafanya biashara mahala pasipofaa. Mamlaka zilisahau kuwa ana watoto ndugu na jamaa wanaomtegemea.

Mohamed Boazizi alijimwagia Petrol na kujipiga kiberiti. Jambo ambalo lilisababisha serikali ya Tunisia,Libya na Egypt kuanguka.
View attachment 1984517
Hawajakatazwa kufanya biashara wanatakiwa wafanye kwenye mazingira ambayo hayataufanya mji au jiji lionekane chafu na halina mpangilio. Hilo ndilo la kuelewa kwa hawa waungwana.

Serikali inao wajibu wa kuwafanya wafanye biashara katika mazingira masafi na yenye ubinadamu wa kila hali.

Bouazizi alijinyonga baada ya kuona uonevu hauishi ndani ya serikali ya nchi yake, mtaji wake haukumsaidia licha ya serikali yake kutamba huko nje kuwa ina sura ya ubinadamu.
 
Kupangilia ni swala la ghafla au tunahitaji ufuatiliaji wa kila siku ? Kajenga kibanda ,kaletewa umeme na tanesco ,maji etc ukigundua serikali za chama chako ndo sababu si uwape 2rs bila fidia watoke
Wamepewa muda gani kuhama?
 
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.

Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.

Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa harassment? Mohamed Boazizi alifanyiwa harassment kama hizi mnazowafanyia wamachinga hivi leo. Mohamed Boazizi aliaambiwa na mamlaka za Tunisia hivi hivi, kuwa anafanya biashara mahala pasipofaa. Mamlaka zilisahau kuwa ana watoto ndugu na jamaa wanaomtegemea.

Mohamed Boazizi alijimwagia Petrol na kujipiga kiberiti. Jambo ambalo lilisababisha serikali ya Tunisia,Libya na Egypt kuanguka.
View attachment 1984517
Nyie watu mnajitia uvivu wa kufikiri, mwapenda njia rahisi rahisi kimaisha.
Uarabuni jangwa tupu, MKALIME!!!
 
Hapa bongo haitakaa itokee hiyo. Kama unabisha jaribu ujimwagie mafuta halafu wahutubie wamachinga wenzako kisha ujichome.

Uone kama mtanzania ataacha kazi zake eti aje kuandamana kwasabb wewe umejiua.
Don't underestimate nguvu ya wamachinga.

Kama hujui machinga wengi wanaisha maisha ya kubangaiza ili kutimiza mahitaji yao na familia zao.

Tofauti na wewe ambaye hufikirii hata hela ya bando sababu una kipato, yeye akiamka anawaza ataimalizaje siku na familia yake.
Machinga wengi hata wakikinukisha wanajua hawana cha kupoteza sababu wengi wao hawamiliki majumba na magari.

Tofauti yako na wao ni kuwa we unaogopa ukiandamana na kukichafua kikinuka basi utapoteza gari yako, mshahara na marupurupu na nyumba yako nzuri.
 
Ukweli ndiyo huo aliye waruhusu ni mwenyekiti wa ccm.

Inakuwaje leo hii mnaanza kuwaharasi kwani wao kosa lao ni lipi?
Kwani sheria za mipango miji zinasemaje?si huwa mnajidanganya eti tamko la rais ni sheria hata kama linavunja sheria?sasa yako wapi sasa.
 
Don't underestimate nguvu ya wamachinga.

Kama hujui machinga wengi wanaisha maisha ya kubangaiza ili kutimiza mahitaji yao na familia zao.

Tofauti na wewe ambaye hufikirii hata hela ya bando sababu una kipato, yeye akiamka anawaza ataimalizaje siku na familia yake.
Machinga wengi hata wakikinukisha wanajua hawana cha kupoteza sababu wengi wao hawamiliki majumba na magari.

Tofauti yako na wao ni kuwa we unaogopa ukiandamana na kukichafua kikinuka basi utapoteza gari yako, mshahara na marupurupu na nyumba yako nzuri.
Sio machinga wa Tz, hakuna wa kukinukisha hapa
 
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.

Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.

Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa harassment? Mohamed Boazizi alifanyiwa harassment kama hizi mnazowafanyia wamachinga hivi leo. Mohamed Boazizi aliaambiwa na mamlaka za Tunisia hivi hivi, kuwa anafanya biashara mahala pasipofaa. Mamlaka zilisahau kuwa ana watoto ndugu na jamaa wanaomtegemea.

Mohamed Boazizi alijimwagia Petrol na kujipiga kiberiti. Jambo ambalo lilisababisha serikali ya Tunisia,Libya na Egypt kuanguka.
View attachment 1984517
Ondokaaaaaaa
 
Back
Top Bottom