Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,955
- 95,276
Aheshimu mawazo ya mtangulizi wake ambaye yeye alikuwa msaidizi wake.'Hakuna na bado hajatokea binadamu yeyote nje ya siasa anayeweza kumkosoa rais wa nchi'
Ungependa afanyeje?
Aheshimu mawazo ya mtangulizi wake ambaye yeye alikuwa msaidizi wake.'Hakuna na bado hajatokea binadamu yeyote nje ya siasa anayeweza kumkosoa rais wa nchi'
Ungependa afanyeje?
Yeye ni Raisi kamili sasaAheshimu mawazo ya mtangulizi wake ambaye yeye alikuwa msaidizi wake.
Kama umelijua hilo sawa.ila mkubali kuwa mwenuekiti wenu alilokoroga sana hili kundi kubwa la wamachinga.Yeye ni Raisi kamili sasa
Halazimiki kufanya hivyo...
Yaliyopita si ndwele........
Kama wewe 😂🇮🇱👌🏿We unafikiria vipi?
Basi mshaurini awafanyie nini kundi hiloKama umelijua hilo sawa.ila mkubali kuwa mwenuekiti wenu alilokoroga sana hili kundi kubwa la wamachinga.
Hata Tunisia kulikuwa na amaniTanzania ni kisiwa cha amani
HakikaHata Tunisia kulikuwa na amani
Sisi hatuna nafasi ya kumshauri maana kila tunacho kifanya tunaonekana ni maadui wa taifa.Basi mshaurini awafanyie nini kundi hilo
Huku mkizingatia nchi ni yetu sote sio machinga tu
Kupangiliwa kwa mjini hakuna maana ya kuondoa watu mjini bali ni kuwatengenezea watu mazingira ya kuwa na mji kulingana na hali yao ya kimaisha na mfumo wao wa kipato wa kila siku, labda uelewe kwamba, watu wanahitaji zaidi maisha yenye kuendelea kuliko kuwa na mji mzuri uliojaa masikini ama watu wasiokuwa na uwezo wa kuendesha kipato, hao wamachinga unaowaona leo wamechafua mji, kesho wanauwezo wa kukiufanya wewe na nyumba yako nzuri mkaishi maisha ya kujificha kama wanyama, wakamfanya mtu mwenye duka lake kariako akajutia uwepo wa duka lake na kipato chake anachopata, hao wamachinga wanaochafu mji, kesho wanauwezo wa kuichafua nchi na watu wakaishi katika maisha ya wanyama, mbwa na pak,paka na panya na utu ukaishia hapo.So mji hautakiwi kupangiliwa?
Wamuulize Lisu au Mange ndiyo wanaowajua watanzania.HAKUNA NCHI RAHISI KUONGOZA KAMA TANZANIA
WAJINGA TUKO WENGI MKUU NI NGUMU KUTETEA WATU WASIOJIELEWA
Sasa unataka Serikali iwafanyeje machinga?
O ni nature ya waarabu na sisi waislam tu nyie wengine hamuwezi...hata Mimi Kuna kipindi huwa nnakua na migogoro ya nafsi acha kabsa siku nkipata shinikizo nakinukisha mammaer 🤕🤕🤕Hapa bongo haitakaa itokee hiyo. Kama unabisha jaribu ujimwagie mafuta halafu wahutubie wamachinga wenzako kisha ujichome.
Uone kama mtanzania ataacha kazi zake eti aje kuandamana kwasabb wewe umejiua.
Vipi unajua kama kura iliyopigwa ni ya mmachinga?Tatizo siyo wamachinga bali tatizo ni mtoto umuleavyo.
Mwendazake aliapa na kulihutubia taifa kuwa wamachinga kamwe wasiguswe maana walimpigia kura.
Kupangiliwa kwa mjini hakuna maana ya kuondoa watu mjini bali ni kuwatengenezea watu mazingira ya kuwa na mji kulingana na hali yao ya kimaisha na mfumo wao wa kipato wa kila siku, labda uelewe kwamba, watu wanahitaji zaidi maisha yenye kuendelea kuliko kuwa na mji mzuri uliojaa masikini ama watu wasiokuwa na uwezo wa kuendesha kipato, hao wamachinga unaowaona leo wamechafua mji, kesho wanauwezo wa kukiufanya wewe na nyumba yako nzuri mkaishi maisha ya kujificha kama wanyama, wakamfanya mtu mwenye duka lake kariako akajutia uwepo wa duka lake na kipato chake anachopata, hao wamachinga wanaochafu mji, kesho wanauwezo wa kuichafua nchi na watu wakaishi katika maisha ya wanyama, mbwa na pak,paka na panya na utu ukaishia hapo.
Sasa chagua moja familia yako iishi kwa furaha au ukoo wako kubaki historia kuwa uliwahi kuwepo ama wewe kuishi ukiwa umejifukia ndani ya shimo huku mji ukachwa ukiwa hautamaniki kutazamika.
Hio ni suluhisho ya muda mrefuItengeneze sera zitakazoufanya uchumi usizalishe wamachinga na zitakazowaondoa wamachinga wa sasa kutoka kwenye umachinga
Una maanisha machinga wabaki hapo hapo walipo?Kupangiliwa kwa mjini hakuna maana ya kuondoa watu mjini bali ni kuwatengenezea watu mazingira ya kuwa na mji kulingana na hali yao ya kimaisha na mfumo wao wa kipato wa kila siku, labda uelewe kwamba, watu wanahitaji zaidi maisha yenye kuendelea kuliko kuwa na mji mzuri uliojaa masikini ama watu wasiokuwa na uwezo wa kuendesha kipato, hao wamachinga unaowaona leo wamechafua mji, kesho wanauwezo wa kukiufanya wewe na nyumba yako nzuri mkaishi maisha ya kujificha kama wanyama, wakamfanya mtu mwenye duka lake kariako akajutia uwepo wa duka lake na kipato chake anachopata, hao wamachinga wanaochafu mji, kesho wanauwezo wa kuichafua nchi na watu wakaishi katika maisha ya wanyama, mbwa na pak,paka na panya na utu ukaishia hapo.
Sasa chagua moja familia yako iishi kwa furaha au ukoo wako kubaki historia kuwa uliwahi kuwepo ama wewe kuishi ukiwa umejifukia ndani ya shimo huku mji ukachwa ukiwa hautamaniki kutazamika.
Kuna vyama vya upinzani wamezuiwa kushauri kuhusu machinga?Sisi hatuna nafasi ya kumshauri maana kila tunacho kifanya tunaonekana ni maadui wa taifa.
Wapinzani hawakubaliki kwa watawala hata kama wana mawazo ya kujenga nchi yetu.