Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 20,471
- 45,419
Nilikuwa busy kumsugua kijambio mama akoHukusikiw au ulikuwa monchwari. Au ulikuwa unaugulia dudu
Nilikuwa busy kumsugua kijambio mama akoHukusikiw au ulikuwa monchwari. Au ulikuwa unaugulia dudu
weee si CV yake anayo Gwaj boy. nzima.Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
CV yake yote GWAJIMA alishaitoa kipindi cha vyeti feki.Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Wachina wana hali mbaya? Kwenye vyombo vya ndani wanapata sh ngapi? Ukijumlisha production,material na usafirishaji! Leo hii unaiona elfu 10 si pesa ya wewe kufanyia kazi! Hongera tajiriFund ndoga kutoka serikalini. Sisi hatufanyi kazi ya njaa. Waiteni waliosoma VETA mana wao hata elfu 10 wanapiga kazi
Hivi unajua thamani ya prof wa mechanical wewe? Afanye kazi ya elfu 10. Ndo mana competent proffesors wa Tanzania wanaishia marekani ambapo wanakuwa valued. Siyo nchi hizi mnavulue vilaza akina makonda na Happy ili kuua wapinzani tuWachina wana hali mbaya? Kwenye vyombo vya ndani wanapata sh ngapi? Ukijumlisha production,material na usafirishaji! Leo hii unaiona elfu 10 si pesa ya wewe kufanyia kazi! Hongera tajiri
Anajua kusoma na kuandika,hicho ni kigezo Kikuu cha wana CCM kupewa madaraka!!Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Cv ni makaratasi,uwezo na talanta ndio la msingiKuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Mainjinia wako Dar tech hao wa mlimani ni vilaza Watupu 😂Huo ndio mtazamo wa mainjinia wetu. Ulaya injinia unamkuta kavaa overall, huku kwetu wazembe kama ninyi mnaenda site na suti nyeupe. Halafu mnataka msipewe mchele wenye virutubisho?![]()
![]()
Wanadalisalama hatutaki cv tunataka dramaMbona akiwa RC wa Dar hamkudai CV yake.?
Ana kwenda Arusha kusimimia 10=za wakubwa kwenye Uwanja unao jengwa kwa b280.Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Hahahaha Wasomi uchwara wa kibongo kazi sana!UDSM au jalalani? Mnamaprof wa mechanical engineering lakini mmeshindwa hata kurekebisha lift kwenye hostels zenu!
Wewe bado mshamba sana! Ruto alishitakiwa mpaka na Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai leo ndo Rais wa Kenya!Kwa hiyo unataka wauaji ndo waongoze nchi. Hivi unajua makonda kaua wangapi nchi hii. Mpka marekani kapigwa ban nchi yenye intelligentsia Kali sana
Makonda anafaa kuuawa hafai kuwa kiongozi kabisa. Kidogo atuulie lisu wetu. Unataka madaraka kwa kuua watu kweli!Wewe bado mshamba sana! Ruto alishitakiwa mpaka na Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai leo ndo Rais wa Kenya!
Marekani hafanyi kazi bila kuangalia masrahi yake! Ikitokea Makonda akawa Waziri Mkuu au Rais kama unadhani Marekani itamzuia kuingia unajidanganya!
Marekani anasaport mauaji sehemu kibao za dunia leo hii unaongelea issue ya skendo ya Makonda ambayo haimhusishi raia wa Kimarekani waifatilie!
Hakuna adui wa kudumu wa Marekani kikubwa kama unasave interest zao au wana interest na wewe!
Punguzeni mihemko Marekani sio rafiki yako au wangu anaweza kuwa adui yako au rafiki yako kutokana jinsi gani anakuhitaji au hakuhitaji kwa masrahi yake!
Umeanza kuandika kihuni sasa 'pesa kisoda' msemo una maana ipi?Anavaa overall kwa sababu analipwa pesa ndefu. Mavazi siyo issue. Hapa bongo hata utembee uchi Bado pesa ni kisoda. Hatukusoma ili tuteseke. Chukueni Hao watu cheap wa veta
Pesa kidogo au pesa mbuziUmeanza kuandika kihuni sasa 'pesa kisoda' msemo una maana ipi?
Paul Makonda ni Mkuu wa Mkoa 'kihiyo.'Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?