Yuda ni mbowe na ataipata ile fresh.Kilicho mponza ni uyuda
Unafiki wao upo wapi,Mnafiki ni slaa na zzk
Atapewa mjomba wako wasira ndio aongoze nchiUnafiki wao upo wapi,
Slaa na Zito ni watu wanaotembea kwenye kauli zao.
Siyo akina Mbowe, na Lisu vigeugeu , oooh huyu ni fisadi, oooh alisitahiri jela .
Huwezi kupewa nchi kwa upuuzi huu
Wassira yuko above 70Atapewa mjomba wako wasira ndio aongoze nchi
Wakati wa miaka ya 2012 nilikatishwa tamaa na waziri Wassira aliposema kuwa CHADEMA itakufa kabla ya 2014,niliogopa na kujutia uamuzi wangu wa kuwa mwanachama wa CHADEMA lakini ilipofika 2015 baada ya uchaguzi mkuu yule aliyeitabilia kifo CHADEMA kumbe ndiyo akaondolewa kwenye dunia ya siasa na vijana wa CHADEMA,.
Slaa alipohama CHADEMA alisema anaamini ataondoka na vijana wake na wapiga kura woote wa CHADEMA,sasa Slaa hasikiki na CHADEMA inazidi kuchanua,kweli Mungu siyo Athumani.
Hizo ni bhangi ulizovutia chooni ndio zina kuwehuavichwa vya watu wengine vina shida! CHADOMO wanazidi kuimarika katika nyanja zipi? pamoja na kutengeneza coaliation fake ambayo sasa imekuwa kama ukiwa fulani hivi..... CHODOMO na washirika wake wameshindwa kupata hata 30% ya viti vya ubunge....... 20% ya viti vya kata... bado hawana matawi yenye proper address ..zaidi ya kuwa na mashina ya wakereketwa chini ya miti na kwenye vijiwe.....hii inaonyesha kuwa ni chama kinachopita tu...hamko serious na kutwaa dola.... na sasa tumeshawasikia kuwa CHAMA RASMI cha MAFISADI na WAKWEPA KODI!
Kwa hiki ulichokiandika ebu tuambieVijana wengi wa CHADEMA wana shida hii ya kuelewa kuhusu 'umdhaniaye ndiye mara nyingi huwa siye...na umdhaniaye siye huwa ndiye',they're very slow to learn anything, Laiti wangejua kwamba mazingira ya siasa za Kiafrika kiongozi wa chama kikuu cha upinzani akiwa pia mfanyabiashara anakuwa ktk uwezekano mkubwa wa kutumika na serikali ya chama cha tawala kwasababu kubwa mbili🙁1) mfanyabiashara anaweza kuzigeuza siasa kuwa jukwaa lingine la kimapato(2)mfanyabiashara anapenda kupata faida kubwa kubwa,faida kubwa wanazozipata mara nyingi hutokana na fouls wanazozicheza kama vile kutolipa kodi, kufanya biashara nyingine zisizo halali.Mara nyingi utakuta serikali wanafahamu mambo yote haya hivyo yanayofanywa na viongozi hawa wa vyama vya upinzani ambao ni wafanyabiashara lkn utakuta hawawachukulii hatua za kisheria kwakuwa wanatoa ushirikiano kwa chama tawala.Je,Wana CHADEMA mliwahi kujiuliza kuhusu hilo?mnakimbilia kumwita Dr Slaa msaliti,itakuwaje siku mkijua kuwa kumbe mnayemwita shujaa wa CHADEMA ndiye msaliti mkubwa dhidi ya harakati za kuiondoa CCM madarakani?itakuwaje siku mkija kujua kuwa ujio wa Lowassa upinzani ulikuwa sehemu ya mkakati wa chama tawala kuvihujumu vyama vya upinzani na kujihakikishia kurudi madarakani?just thinking!
Mkuu huyu jamaa anaye jita TEKNOLOJIA sijui ana akili gani,ya mjusi si ya mjusi yaani hajui nini anakiandika juu ya cdm zaidi ya chuki tuu jambo ambalo halitamsaidia kitu
Nani kakwambia kuwa kwenye SIASA KUNA ADUI au RAFIKI wa KUDUMU?ebu wacha kuleta porojo zako za kilumumba na kuwa mkweli na muwaziMkuu Mmawia kama kweli unakitumia kichwa chako vizuri ktk kutafakari basi naomba unijibu hili swali:hivi kati ya mtu ambaye alijijengea jina kutokana na mapambano na misimamo yake dhidi ya ufisadi nchini,akasimamia hoja yake hiyo ya kutotaka kukaa meza moja na mafisadi mpaka dakika ya mwisho NA yule ambaye naye miezi kadhaa iliyopita alitangaza kutokumpokea mtu yeyote mwenye tuhuma za ufisadi kutoka chama tawala,akipita huko na huko akiwananga mafisadi hao ktk mikutano ya hadhara halafu ghafla mwanasiasa huyo huyo anageuka na kwa kumkaribisha mtuhumiwa huyo huku akijaribu kumsafisha kwamba anasingiziwa tu,akisahau kwamba muda mfupi tu uliopita na yeye alikuwa akimwita fisadi.Je,utamwamini yupi hapo kati ya hao wawili?mahaba ya kijinga pembeni,jibu kama msomi!