Kama alivyo LowassaSlaa ni mwana ccm wa kutegemewa sana kwa sasa kuliko muda wote
Taa moja ikiambatana na mabehewa kibao.....Nimekuuliza treni ina taa ngapi hutaki kujibu
Kuna uongo unatia aibu hata kuusomaMbowe ameamua kwa makusudi kuigeuza chadema kuwa chuo cha kufundisha unafiki,( unafiki investors)
Sasa uzuri ni kwamba unafiki haulipi kwa hiyo tutaendelea kuwakata kila mwaka
Wabunge kuna Ester Bulaya aliyeng'oa jiwe kuu la pembeni na mtunga sera wa ccm Wassira na wenyeviti ni Mgeja na Msindai sema lingine.Mkuu ni kweli kwamba slaa alipohama alisema ataondoka na vijana wake vipi kuhusu lowassa alipoondoka aliacha usia gani na akaingia cdm kwa gia gani ???Wale wabunge alioahidi na wenyeviti ccm mikoa mliwapokea km ilivyoahidiwa??? Acheni kujifanya mazezeta kwa watu wenye uelewa bhanaaa
Soma wewe utufundishe,nimekwambia tueleze hao viongozi umeshindwa kuwasema
Nimesha kwambia kwenye post yako moja kuwa labda ukawakate wale wote wanao kukata kila kukichaMbowe ameamua kwa makusudi kuigeuza chadema kuwa chuo cha kufundisha unafiki,( unafiki investors)
Sasa uzuri ni kwamba unafiki haulipi kwa hiyo tutaendelea kuwakata kila mwaka
2010 chadema ilikuwa na wabunge wangapi? wameongezeka au wamepungua?Hivi huoni hata aibu!? Katika majimbo 265 kote nchini, mna wabunge 36 tu...pamoja na kuunganisha nguvu ya vyama pinzani na kuachiana majimbo...Na bado mnajiona mmefanya vizuri!? Kuwa mkweli katika nafsi yako tu...Huna sababu ya ku-reply hii comment.
Asante sana mkuu kwa kutoa ufafanuzi mzuri unaojitosheleza ingawa yatakuja magamba kupingaCcm ni janga LA taifa la Tanzania,hata ukifuatilia mijadala mbalimbali hasa wanaoitetea ccm unakuta ni ugoro mtupu,na hii ni kwa sababu maisha yao na kula yao inategemea ccm,wengine utawakuta wanashinda kutwa nzima kwenye vibanda na vijiwe vya ccm,
Chadema kuimarika ni jambo ambalo ccm hawatopenda kulisikia kwa kuwa walishaandaa fedha na wasaliti kwa ajili ya kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa,walianza na zitto KABWE issue ikabuma,wakaja kwa lipumba baada ya kuanzisha ukawa,issue ikabuma mwisho wakammaliza slaa pia wakabuma,kuna mhuni anasema CHADEMA imeshinda kaskazini tu,hawa wanaongozwa na mihemko,kunawabunge waliotokana na Ukawa na nguvu za Ukawa mtwara na Lindi pia MBEYA na IRINGA ambapo CDM na cuf wamechaguliwa,mwisho ni kwamba ccm imetumia gharama kwa maana ya fedha nyingi kuliko Ukawa na isingewezekana na Ukawa kutumia fedha kutafuta uongozi kwa kuwa sio Sera ya chama na pia uongozi sio biashara,ccm wanatumia fedha na polisi kwa kuwa dhamira uao sio kuwatumikia wananchi bali ni kulinda uovu wao na serikali ya ccm