Mkuu,,unaroho ngumu sana! Kumponda Slaa kunahitaji uwe huna akili! Una roho ngumu sana kwakweli sijui kama.
Huo ndo ukweli mchungu mkuu ambao ccm unawachoma kila kukicha lakiki hawawezi kuupanulia mdomo maana ni aibu ya ndani hiyo.Woote waliosema cdm inakufa sasa wao ndio wamezikwa kisiasa
Wana CDM TUTAZIDI KUA JUU, JUU JUU ZAIDI.Na wataendelea kufa wengi kisiasa na cdm itaendelea kuimarika na kusonga mbele
Nasikia Ndugai alipoisoma barua ile aliangua kicheko hadi maumivu, nusura arudishwe tena India. Ila kaahidi atamuweka kwenye kamati ya kilimo ili asaidie kukuza kilimo cha michikichi kukuza upatikanaji wa maweseIle barua ya kuomba uenyekiti wa kamati ya bunge vipi ilishajibiwa?
Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh @ mcubicNasikia Ndugai alipoisoma barua ile aliangua kicheko hadi maumivu, nusura arudishwe tena India. Ila kaahidi atamuweka kwenye kamati ya kilimo ili asaidie kukuza kilimo cha michikichi kukuza upatikanaji wa mawese
Hivi huoni hata aibu!? Katika majimbo 265 kote nchini, mna wabunge 36 tu...pamoja na kuunganisha nguvu ya vyama pinzani na kuachiana majimbo...Na bado mnajiona mmefanya vizuri!? Kuwa mkweli katika nafsi yako tu...Huna sababu ya ku-reply hii comment.
Mkuu sidhani kama huko atafurahia kwenda maana anajua ulaji ni finyuNasikia Ndugai alipoisoma barua ile aliangua kicheko hadi maumivu, nusura arudishwe tena India. Ila kaahidi atamuweka kwenye kamati ya kilimo ili asaidie kukuza kilimo cha michikichi kukuza upatikanaji wa mawese
Kwani Slaa mara ya mwisho umemsikia lini?ili ukatae hili siyo kweli?Slaa amepunguza nini CDM toka alipoondoka?Mkuu,,unaroho ngumu sana! Kumponda Slaa kunahitaji uwe huna akili! Una roho ngumu sana kwakweli sijui kama.
Wacha waendelee kuficha kansa ya ini mwisho wa siku ni kuwasahau kama ilivyo sahaulika upc na kanu kwa uganda na kenyaH
Huo ndo ukweli mchungu mkuu ambao ccm unawachoma kila kukicha lakiki hawawezi kuupanulia mdomo maana ni aibu ya ndani hiyo.
?itakuwaje siku mkija kujua kuwa ujio wa Lowassa upinzani ulikuwa sehemu ya mkakati wa chama tawala kuvihujumu vyama vya upinzani na kujihakikishia kurudi madarakani?just thinking!
Mkuu huyu jamaa anaye jita TEKNOLOJIA sijui ana akili gani,ya mjusi si ya mjusi yaani hajui nini anakiandika juu ya cdm zaidi ya chuki tuu jambo ambalo halitamsaidia kituKweli kuna mawazo negative ila haya yamepondokea. Anyway aliwazalo nanihii ndilo litalomtokea. Baba Lowassa ni wetu daima na hakuna wa kufanana naye hata kwa mchuzi.
Mkuu nayakumbuka sana maneno ya slaa ktk ukumbi aliokodishiwa na mwakyembe eti enyi watu wangu wa cdm,vijana wangu wa cdm!!!!!Kwani Slaa mara ya mwisho umemsikia lini?ili ukatae hili siyo kweli?Slaa amepunguza nini CDM toka alipoondoka?
Mkuu kwa zenji maji tayari yamewashika shingoni hawana ujanja wao wa kuchezesha karata tatu,tunasubiri watutangazie chaguo la wazenji maalim seifaC
Acha kumshawishi asii-reply hiyo coment wakati unajua moyoni mwako (HATA KAMA HUTASEMA KWA MDOMO WAKO) kua ushindi ulikua ni wa UKAWA ila mkafanya yenu mliyofanaya ndo maana hata Zenji mnajaribu sana yaleyale ya huku bara, mtashindwa tu na mtalegea kwa nguvu ya umma, time will tell.