Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,470
- 96,019
Wakati wa miaka ya 2012 nilikatishwa tamaa na waziri Wassira aliposema kuwa CHADEMA itakufa kabla ya 2014,niliogopa na kujutia uamuzi wangu wa kuwa mwanachama wa CHADEMA lakini ilipofika 2015 baada ya uchaguzi mkuu yule aliyeitabilia kifo CHADEMA kumbe ndiyo akaondolewa kwenye dunia ya siasa na vijana wa CHADEMA,.
Slaa alipohama CHADEMA alisema anaamini ataondoka na vijana wake na wapiga kura woote wa CHADEMA,sasa Slaa hasikiki na CHADEMA inazidi kuchanua,kweli Mungu siyo Athumani.
Slaa alipohama CHADEMA alisema anaamini ataondoka na vijana wake na wapiga kura woote wa CHADEMA,sasa Slaa hasikiki na CHADEMA inazidi kuchanua,kweli Mungu siyo Athumani.
Last edited by a moderator: