Vijana wengi wa CHADEMA wana shida hii ya kuelewa kuhusu 'umdhaniaye ndiye mara nyingi huwa siye...na umdhaniaye siye huwa ndiye',they're very slow to learn anything, Laiti wangejua kwamba mazingira ya siasa za Kiafrika kiongozi wa chama kikuu cha upinzani akiwa pia mfanyabiashara anakuwa ktk uwezekano mkubwa wa kutumika na serikali ya chama cha tawala kwasababu kubwa mbili🙁1) mfanyabiashara anaweza kuzigeuza siasa kuwa jukwaa lingine la kimapato(2)mfanyabiashara anapenda kupata faida kubwa kubwa,faida kubwa wanazozipata mara nyingi hutokana na fouls wanazozicheza kama vile kutolipa kodi, kufanya biashara nyingine zisizo halali.Mara nyingi utakuta serikali wanafahamu mambo yote haya hivyo yanayofanywa na viongozi hawa wa vyama vya upinzani ambao ni wafanyabiashara lkn utakuta hawawachukulii hatua za kisheria kwakuwa wanatoa ushirikiano kwa chama tawala.Je,Wana CHADEMA mliwahi kujiuliza kuhusu hilo?mnakimbilia kumwita Dr Slaa msaliti,itakuwaje siku mkijua kuwa kumbe mnayemwita shujaa wa CHADEMA ndiye msaliti mkubwa dhidi ya harakati za kuiondoa CCM madarakani?itakuwaje siku mkija kujua kuwa ujio wa Lowassa upinzani ulikuwa sehemu ya mkakati wa chama tawala kuvihujumu vyama vya upinzani na kujihakikishia kurudi madarakani?just thinking!