Wakati CHADEMA wakizidi kuimarika, wapi Wassira, wapi Slaa?

Wakati CHADEMA wakizidi kuimarika, wapi Wassira, wapi Slaa?

Hivi huoni hata aibu!? Katika majimbo 265 kote nchini, mna wabunge 36 tu...pamoja na kuunganisha nguvu ya vyama pinzani na kuachiana majimbo...Na bado mnajiona mmefanya vizuri!? Kuwa mkweli katika nafsi yako tu...Huna sababu ya ku-reply hii comment.
hawana jipya hao
 
Wasira ameludi kwake kwenye hifadhi ya GOMBE na silaa amepata kibalua cha ufagizi kwenye seminary ndogo Itaga Tabora.
 
Ni kweli kwa yeyeyote mwenye taarifa naye atujulishe ili angalau tujue mzee wetu yuko wapi ikiwezekana tumwalike siku moja aje aone maendeleo yetu
...Alishatusihi wenye akili wote tumchague Rais Magufuli na tukamchagua - unalialia nini? Hivi mmeshapata katibu mkuu anayeweza kuvaa viatu vyake? lipeni hilo Zezeta lenu linalolalamika magufuli kuwashughulikia mafisadi.
 
lazima ifike hatua tuachane na siasa nyepesi tujikite zaidi kwenye hoja na ubunifu, naona chadema ya sasa imejikita zaidi kushambulia watu kuliko hoja za msingi imefika hatua mpaka zetu za msingi tunaweka pembeni tunaandama watu, kama kuna kosa kubwa chadema walifanya ni kumuacha Dr slaa aondoke halafu wakachukua kapi LOWASA, Dr, slaa anaandamwa lakini mda si mrefu atasafishwa kama lowasa alivyosafishwa na chadema yenyewe
Wacha kufanya kufuru ya mwaka ya kumlinganisha rais wa mioyo ya watanzania mheshimiwa sana Edward Ngoyai Lowasa na huyo slaa wako,huoni aibu?
 
...Alishatusihi wenye akili wote tumchague Rais Magufuli na tukamchagua - unalialia nini? Hivi mmeshapata katibu mkuu anayeweza kuvaa viatu vyake? lipeni hilo Zezeta lenu linalolalamika magufuli kuwashughulikia mafisadi.
Loawasa lowasa lowassa Loawasa lowassa lowassa ....hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wasira ameludi kwake kwenye hifadhi ya GOMBE na silaa amepata kibalua cha ufagizi kwenye seminary ndogo Itaga Tabora.
Asante sana mkuu kwa taarifa hiyo
 
Last edited:
Mkuu alimaanisha wabunge wa kuchaguliwa kwa chama chenu cha Chadema kwa sababu hicho ndicho kigezo cha kuona mnakubalika kwa kiasi gani. Leo hii mnaingiza na viti maalum nk kuongeza idadi. Ila kati ya viti vya ubunge vya kuchaguliwa majimboni, kati ya majimbo 265 Chadema ina wabunge 35 tu. Hakuna cha kubisha.
Sio unakurupuka kumjibia huyo zumbukuku pasipo kusoma alichokuwa kakiandika, yeye alichokuwa kakiandika ni kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA.
 
Mkuu wasira ni sawa Na adui kuu muda wa kufa ulishifika 2015...Hana jipya tena
 
Sio unakurupuka kumjibia huyo zumbukuku pasipo kusoma alichokuwa kakiandika, yeye alichokuwa kakiandika ni kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA.
Namshangaa mtu yoyote anayesema upinzani hauna nguvu au cdm haina nguvu hivi tangu mfumo wa vyama vingi umeanza nilini ccm imewahi kushinda majimbi yoote tanzania? Mwaka jana ccm bado imeendelea kupokonywa majimbo na wapinzani
 
Back
Top Bottom