Dr Slaa hana lolote kwani watu waliotumika kumlubuni ni Vijana wadogo tu na walipiga pesa kupitia Udalali huo, wakati harakati za kuikoroga Chadema zinaanza Membe alipanga mbinu zake binafsi na ccm walipanga zao, Ndipo Makonda,Nape na Jack Gotham wakawa madalali pesa yote ya kumpelekea Slaa ilipitia kwao wakaipiga panga na kumpatia Slaa dola million 2 tu zingine wakagawana huku Mwakyembe yeye akivuta zake toka kwingine na yeye kujipa jukumu la kumfundisha jinsi ya kumhukumu Lowasa, Dr Slaa si mjanja kama unavyofikiria bali na yeye ana njaa sana ndiyo maana alikamatwa akili kirahisi na madalali wa Siasa akina Makonda na wenzao.