Wakata KUCHA wake za WATU za miguuni

Naona hao wote kheri kuliko fundi nguo mara apime sehemu ya matiti mara makalio yaani taabu tupu.Ni mwendo wa kununua special tuu dukani kama ndo ivyo.
Though hatuwezi wakwepa madokta wazalishaji
 
...mmeumaliza mwaka kwa wivu, mwaka mpya itakuwaje?...

ikumbukwe baada ya kina mama kuanza sukwa na 'wamassai' na wavulana wa 'kikongo', saloon za kiume wakabuni ajira kwa kina dada waosha vichwa na nyuso baada ya kunyolewa...

Waacheni wakatwe kucha wakati tunaendelea kudai haki ya kuwa na Salooni za 'kuchua misuli' ya kinababa...:D
 
Naona hao wote kheri kuliko fundi nguo mara apime sehemu ya matiti mara makalio yaani taabu tupu.Ni mwendo wa kununua special tuu dukani kama ndo ivyo.
Though hatuwezi wakwepa madokta wazalishaji

Hilo la dactar, mi nkija oa mke wangu lazima atibiwe na dactari mwanamke.
Wakina dada jitahidini muwe madactar bwana kwa wingi.
Ila of kozi mi naponaga haraka nikikutana na daktar wa kike. Hilo haliitaji kengele.
 
Acheni mfumo dume, kwa hiyo wanaume ni sawa kuhudumiwa na wanawake lakini wanawake no, mi nasema nikimkuta mtu anamfanyia mume wangu sijui facial baada ya kunyoa ni viwembe tu machoni kila mtu ahudumiwe na mtu wa jinsia yake, kila siku ooh sitaki mke wangu hivi na hivi lakini mnasahau nyie matendo yenu, kwa nini isichezwe fair play?
 
Kuna tabia ya vijana imeanza siku hizi kwa kujiajiri kukata kucha za miguu za wake wa watu na wasichana wavivu kweli inanipa wasix2.

Nimeona jinsi mmojawapo hapa anavyokumbatia mama mguu mmoja huku anakwaruza na kupuliza unyayo mpaka huyu mama anasinzia na amevaa kimini na ni mweupee pee sasa huyu kijana ananyanyua mguu mpaka begani kwake huku akiwa amekaa chini na huyu mama amekaa kwenye kiti. Na anaoneka ni mtu wa makamo ya kati.

Sidhani kama ni sahihi. labda wenzangu mnifumbue macho labda mimi mshamba.
Teh teh jamani wapi tatizo?kijana wa watu anaonyesha umahiri wake nyie mnamuonea wivu si haki hata kidogo,mbona na mijibabu inafanyiwa scrub au msg na vibinti vidogo huko saloon na hamlalamiki
 
na hao wavivu wote wanaliwa na hao wapaka kucha, hata wengine vijana wa kiume utawakuta salon wakiwatengeneza wadada nywele, sasa hayo manjonjo kiasi kwamba akina dada hao hawataki kutengenezwa na wasichana wenzao
 
Acheni mfumo dume, kwa hiyo wanaume ni sawa kuhudumiwa na wanawake lakini wanawake no, mi nasema nikimkuta mtu anamfanyia mume wangu sijui facial baada ya kunyoa ni viwembe tu machoni kila mtu ahudumiwe na mtu wa jinsia yake, kila siku ooh sitaki mke wangu hivi na hivi lakini mnasahau nyie matendo yenu, kwa nini isichezwe fair play?

Kumbe naniliu ni mdada! Mimi nilidhani ni mkaka. Sasa kama wewe unaenda kukatwa kucha za mikono na miguu na kupakwa rangi na kabla ya hayo huyo mkaka akakuosha mikono na miguu yako huku akikufanyia massage ambayo unajisikia kusinzia kwanini mumeo nae asifurahie kufanyiwa facial na mdada. Dar lini?
 
Aisee, wakuu hapo mimi siruhusu kabisa, itabidi aende saluni akatengenezwe na wanawake wenzie
 
Ndo maana nikasema iwe fair play wadada waoshwe miguu na wagosi, wakaka nao wafanyiwe massage huko kwa vinyozi full stop, sio sijui nitaua mtu, mara ooh nitamshonea nguo mwenyewe, mara doctor wa kuzalisha wawe wanawake, nanunua bunduki, shida nini? kama ni hivyo kila mtu awe na bunduki yake basi ndio itakuwa suluhisho, vinginevyo mgosi ataendelea kukata kucha, mparee ataendelea kushona.
 
Saluni nyingi siku hizi zimejaa vijana wa kiume na akina dada wengi wanadai wanapenda "kutengenezwa" kucha zao na vijana hao wa kiume maana "wanawatengeza" vizuri ukilinganisha na akina dada wenzao.
 
mbona ni vitu vya kawaida sana hivyo na si wanawake tu wanakatwa kucha na kusafishwa miguu bali hata wanaume sema kwa bongo havikua popular tunaona ndo vitakua vimeanza kuwa popular sasa.....is just the matter of USAFI...nothing terrible.
 
Ndo maana nikasema iwe fair play wadada waoshwe miguu na wagosi, wakaka nao wafanyiwe massage huko kwa vinyozi full stop, sio sijui nitaua mtu, mara ooh nitamshonea nguo mwenyewe, mara doctor wa kuzalisha wawe wanawake, nanunua bunduki, shida nini? kama ni hivyo kila mtu awe na bunduki yake basi ndio itakuwa suluhisho, vinginevyo mgosi ataendelea kukata kucha, mparee ataendelea kushona.

Sawa mpenzi nimekuelewa sasa Dar lini sikukuu zote zimeshakwisha au bado uko vekesheni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom