Wakali wa umombo JF...

Kiranga nisome vitabu gani nipige ung'ng'e kukuzidi wewe?

Mimi nilianza ku cram namba za simu kwa kiingereza nikiwa na miaka minne.

Baada ya hapo nikasoma illustrated Greek mythology for children madarasa ya chini ya primary school. Madarasa ya juu nikasoma sana Science Fiction za Dr. Asimov, vitabu vya Jackie Collins, Sidney Sheldon, James Hadley Chase, Mario Puzo etc. Nimesoma sana articles na vitabu vya waandishi wa nyumbani kama Wilson Kaigarula na Agoro Anduru.

Kujifunza lugha kunataka mazoezi ya kuandika na kuzungumza pia, niliandika mashairi Sunday News pamoja na kuwasiliana na marafiki wa kalamu kutoka pande zote za dunia tangu nikiwa na miaka 14.

Nilipofika miaka 17 nikaingia kwenye ulimwengu wa Stephen Hawkings na "Pilosophy of Religion: An Anthology".

List ni ndefu sana, aiwezi kuimaliza yote.

Mara nyingi nilikuwa nasoma vitu vilivyonizidi kimo na kupanua msamiati kwa haraka.

Njia moja ya kujua lugha ni kupanua msamiati. Unapanua msamiati kwa kutumia maneno unayojifunza. Ndiyo maana mara nyingine unamuona Kiranga anatoa maneno magumu ukafikiri ni mjivuni, kumbe mwenzenu ninajifunza lugha za watu tu.
 
Last edited by a moderator:
If Kiranga's English is anything impressive at JF, it could only be because JF standards are too low, not because Kiranga is that impressive in the high command of this strange tongue.

Thank you twende kazi , you are far too kind.

Rumors are you had won the prestigious Pulitzer Award during the 1990s
 
Last edited by a moderator:
Rumors are you had won the prestigious Pulitzer Award during the 1990s

No, that was the "Puliza" award during the Tambaza years.

It is of a different nature, but had a prestigious cult following nevertheless.
 
do not think no one is above you in speaking this strange language. I belief, there are many who can speak excellent fluent English than you. You can only compare yourself in English speaking to the one whom you once had English conversation with him or her.
 
Yani kuna watu hawajui kiingereza lakini wana hamu na kujua mbwembwe ambazo hata kwenye kiswahili hawajui.
 
Mkali wa umombo ni yule tu ambaye anaweza kuwaza katika ulimi huo, anaweza kuota, na hatafuti msamiati wa kuweka mahali fulani wakati wa maongezi. Utafikia uwezo huo kwa kusoma na kuilewa sarufi ya lugha ya Kiingereza, kisha uifanyie mazoezi ya kutosha. Msamiati wako pia utapanuka kwa kusoma vitabu vingi vya hadithi na ujifunze matumizi yake. Unatakiwa uweze kusoma maneno mengi zaidi ya yale uwezayo kutamka. Kwa kawaida ukiweza kusoma zaidi ya maneno 190 kwa dakika moja uwezo wako wa kusoma unakuwa mkubwa, hivyo panua msamiati wako ili uongeze passive vocabulary yako. Active vocabulary ndiyo jumla ya maneno unayoweza kutumia wakati passive vocabulary ni jumla ya maneno unayoyafahamu, lakini si lazima uyatumie.
 
ANA PACHA WAKE Ishmael WAKIKUTANA HATARE
 
You know what? , here am fit also in English speaking baby!
 
Is this what you did, sir? Kusoma Newsweek na Time Magazine ukiwa na miaka 12? Na kutumia mashairi Sunday news ukiwa na miaka 14? Hii siyo kawaida, Nadhani wewe nawe ni Kama akina Chris Hitchens, your brains should be examined.
 
Kitu Nyani ngabu Bwana yaani kaka anatiririka Kidhungu hadi nampenda bure. ana kienglish kizuri sana!
 
siamini kama kuna mkali wa lugha humu ikiwa kila mtu anaweza kuchangia mada labda lugha za mipasho
 
Sasa Kiranga unakokwenda ni kubaya.....sawa umesifiwa kwa nini tena unaendeleza misamiati migumu hivyo......

Napita.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…