afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,152
- 9,268
ukali gani huo ulionao dear
umekaa kiafrika kuwa mpole kwa mwanaume
mwanaume gani anaenda saluni ku wax na ku shape eyebrows ..:nimekataa
ukali gani huo ulionao dear
umekaa kiafrika kuwa mpole kwa mwanaume
sijiuzi.Hata kapuku nampa uroda ila awe handsomeNdo huo uroda nautaka sasa ..............:majani7:
Honey this is your life..
Ukitaka kuwapanga mia na nusu wapange tu..
ukitaka wenye ma BMW, Jaguar, Aston Martin, mchukue.
Ukitaka aaepokea zaidi ya $ 10, 000 kwa mwezi we mchukue..
nitachotaka kusema you only live once.
Kwa hiyo ishi jinsi utakavyo mamito.....
sijiuzi.Hata kapuku nampa uroda ila awe handsome
Kama unampenda mwanaume usimtongoze, ukimtongoza UTAMKOSA MOJA KWA MOJAhahahahahahahahahaha
Kumbe hata ye alikuwa kwenye list ukamtosa.
I wonder why kanuna lolz.........
staki mali zote hizo, nataka milioni mbili tu kwa mwezi ananifaa sana
akiwa tajiri atanisumbua
Lizzy she is my everything na nimempa likizo ya kuingia JF, kama umemmisi nipm nitakupa simu uongee naye.Kama unampenda mwanaume usimtongoze, ukimtongoza UTAMKOSA MOJA KWA MOJA
MATOLA nilimpenda kumtongoza akaniona vipi flan NILIUMIA SANA, baadae akajaanza kuomba msamaha NIKAMTOSA na yeye aumie hata kama NILIMPENDA
nakupa uroda kama nimekutaka na sii kwamba kwa kuwa unahela
hata wa milioni mbili akiwa presentable napenda wewe na mamilioni yko huninunui
Aaa ah afrodenzi nini tena bhanaaaaa.........
ah! nilishajua tu, watu wenyewe unawajua kabisa kumbe
Lakini sijui kama ipo siku watakuja kukutongoza, But si mbaya endelea kusubiri. Kumbuka tu kuwa na wenyewe wana wengi kila mtu ana si pungufu ya wanawake 10 wa kila ladha, sijui yako.
Sasa mimi katika milioni 2 kama nimepungukiwa elfu kumi je utanikubali? mshahara utaongezeka July! (Mkataba ukiisha sijui tena utaniacha?)
Umesema vema wangu, hakuna binadamu anayezaliwa na mali au status, hivyo vyote huja on the way. Kuna watu waliwakataa wanaumwe walioonekana ni maskini na wasiojiweza. Kwao hawana kitu na wanasomea degree ya ualimu tu, sasa hivi hao waliokataliwa ni mawaziri, na hao wadada waliojifanya wapo matawi ya juu waliishia kuolewa na walevi wasiojali hata familia. Katika kuchagua mme, angalia zaidi uwezo wake wa kuchambua mambo na maono yake ya kimaisha. Usiangalie ana nini na anastatus gani.Marytina karibu tena mamake.
mmwweeehhh Nili miss hiyo mama Mchaga baba Mngoni.
anyway wanasema ridhiki kokote my dear .
hawa kaka zetu hawawezi jua elemu au financial situation yako
mpaka watakapo ongea nawe na wakujue vizuri . so waache tu
wajaribu .. sioni mbaya.
na huwezi jua mtu ana nini au tabia yake yukoje kwa kumwangalia tu.
ila sisi binadamu tunatabia ya ku "Judge" haraka mno. tunaangalia yule
kavaa nini, anakula wapi, ana gari ama bajaji etc halafu papo hapo tumesha
conclude ooohhhhh yule "tajiri, ama hana kitu " ...
mwisho wa silku...
life goes on ........................................
Kama unampenda mwanaume usimtongoze, ukimtongoza UTAMKOSA MOJA KWA MOJA
MATOLA nilimpenda kumtongoza akaniona vipi flan NILIUMIA SANA, baadae akajaanza kuomba msamaha NIKAMTOSA na yeye aumie hata kama NILIMPENDA
HUFAI KWENYE RESERVE LIST MANAKE HUNA MILIONI MBILI KWA MWEZI
wewe kama uko presentable nitakuvulia na nitakufanya mpaka utosheke ila na wewe lazima unipe raha ya kweli
Amin nakwambia reserve list wanakaa wenye hela hiyo, wewe ntakupaga bure ila you must be very presentable na usinigande cz mimi sio mpenzi wako
nipe samahan
mimi sizungumzii mihela mingi ya wabunge
nachozungumzia ni kipato cha mwanaume kiwe ingalao milioni mbili kwa mwezi
hahahahahahahahahah
Kashe she mpauko. Usjali nahakika kuna wanume bora kwenye list yako.
usiokote kila lidubwasha.
Marangu au machame..???