wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

Umesema vema wangu, hakuna binadamu anayezaliwa na mali au status, hivyo vyote huja on the way. Kuna watu waliwakataa wanaumwe walioonekana ni maskini na wasiojiweza. Kwao hawana kitu na wanasomea degree ya ualimu tu, sasa hivi hao waliokataliwa ni mawaziri, na hao wadada waliojifanya wapo matawi ya juu waliishia kuolewa na walevi wasiojali hata familia. Katika kuchagua mme, angalia zaidi uwezo wake wa kuchambua mambo na maono yake ya kimaisha. Usiangalie ana nini na anastatus gani.

Status na mali tuna-acquire, kwahiyo ipo siku zitatoweka na tutakuja kushangaa kuona wale waliokuwa maskini na hawana hata business ndiyo akina Bhahressa wa wakati huo. Hakuna kitu huwa nakichukia kama cha kukutana na mdada siku ya kwanza tu anakuuliza unafanya kazi wapi, mshahara wako ni kiasi gani? Oooh, shit I hate this! Hata ningekuwa na kazi ya maana na mshahara wa kueleweka, lazima tu nikudanganye despite uzuri wako.

Love a person for who he is and not for what he has! Maana siku vikitoweka utabaki na upendo kwa huyo mtu lakini kama unapenda status yake na mali zake, ni dhahiri siku vikitoweka, na ndoa itasambaratika.

nakubaliana nawe kabisa.
Ila maisha ya sasa ndivyo yalivyo.

Na kama mtu anataka kufuata mali hiyo ni juu yake.
Na kama anataka kufuata penzi hiyo ni juu yake pia.

ndivyo mazingira yetu yalivyo "uchaguzi mwingi"..

Na kama ulivyosema majuto ni baadaye...:nimekataa
 
Nimependa kidubwasha tu! kumbe kuna vitu vya aina iyo!
Angalia vingine hugeuka baadaye na kuwa bora ya vile vilivokuwa vid.. mwanzo

ahaa bwana aee.
Kuna wanume wengine wanapenda kujiona wajuzi wa kila jambo..
na wengine ma " Control freaks" mi hao wote nawaona madubwasha tu ..

Hawana lolote jipya.
 
home arusha, mama mchagga baba mngoni


jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee

Wengine wanaamini hawana kitu leo lakini wana potential.

Rome wasn't built in a day.

Halafu practice what you preach. Sio wewe unakandya wakaka wasio na degree/hela/professional certification wakati una degree moja na hela ya kubadilisha mboga halafu when The Pope of Unorthodoxy and Cardinal of Opulence comes for his "Decadent Sojourn" unataka kujishaua uwe karbu naye japo upate marashi yake tu.

Atakwambia "By your own standards ye shall be judged" huku chauffeur akifunga vioo katika Bentley Continental yake.

And here is a piece of advise from a world class ghetto poet who should know it.

One for the honeys who roll blunts up but don't smoke
Two for the few who see potential in you when you broke
Three for the G they got, they game is hot I give it to you
Double life wife- play with the man that's livin' with you

-Nas "Hey Nas"
 
dear punguza hasira
NILISHAWAI KUMPENDA MATOLA na hivyo siko tayari kuona ukimdhalilisha hata kama NILIJAMTOSA

anakijisehemu chake katika moyo wangu hata kama hicho kijisehemu nimekiban ila kipo.

Shosti tutakosana kwa sababu ya MATOLA mwache hasira zitamwisha, haya maisha hayaitaji hasira kiivyo
 
dear punguza hasira
NILISHAWAI KUMPENDA MATOLA na hivyo siko tayari kuona ukimdhalilisha hata kama NILIJAMTOSA

anakijisehemu chake katika moyo wangu hata kama hicho kijisehemu nimekiban ila kipo.

Shosti tutakosana kwa sababu ya MATOLA mwache hasira zitamwisha, haya maisha hayaitaji hasira kiivyo

Mi wala hata sina hasira.

Hata kama we bado unampenda lakini asinijibu mimi mavi.
Sina heshima kwa asie niheshimu .
 
Lizzy she is my everything na nimempa likizo ya kuingia JF, kama umemmisi nipm nitakupa simu uongee naye.
Kwani nilikosea KUKUPENDA?
Lizz ni rafiki yangu ila hiyo haikuwa sababu ya wewe kunikataa kwa stahili ile, ungenikataa kistaarabu
 
Kweli sometimes inabidi liingilia sikio moja na kutokea lingine, maana utaumia kumbe umepunguziwa mzigo ambao ungekukuta baadaye kama angekubali
 
ahaa bwana aee.
Kuna wanume wengine wanapenda kujiona wajuzi wa kila jambo..
na wengine ma " Control freaks" mi hao wote nawaona madubwasha tu ..

Hawana lolote jipya.

Kwa hilo nakuunga Mkono,
Ukiona hilo utakuwa umemaliza maana ishasemwa "Ajikwezaye hushushwa" na ajishushaye hukwezwa.
 
Kwani nilikosea KUKUPENDA?
Lizz ni rafiki yangu ila hiyo haikuwa sababu ya wewe kunikataa kwa stahili ile, ungenikataa kistaarabu
Niliamuwa kumuachia uwanja Mmasai atese kwa raha zake. Life is too short to hate.
 
miss u dear matty, it has been long time

hayo unayozungumzia ni mapenzi ya tamthilia na sio real life.Explore the opportunities kama zipo achanaga na kulilia mapenzi
Kamwe haiwezi kuwa real life kwa watu wa aina yako,..wenzio wanayaishi, jiulize ni wapi uliipoyashindwa urekebishe. Maringo kwa mwanamke ni sawa lakini kujipaisha Levels dah utakesha hata mwenye hivyo vigezo unavyovitaka ata heat na kurun tu, "wakula naye ni aliyechuma naye.."
 
dear punguza hasira
NILISHAWAI KUMPENDA MATOLA na hivyo siko tayari kuona ukimdhalilisha hata kama NILIJAMTOSA

anakijisehemu chake katika moyo wangu hata kama hicho kijisehemu nimekiban ila kipo.

Shosti tutakosana kwa sababu ya MATOLA mwache hasira zitamwisha, haya maisha hayaitaji hasira kiivyo

Kweli apunguze hasira, kaja juu hata mimi nimemwogopa!
Haifai namna hiyo, halafu anasema hayupo single,
Asimtishe huyo jamaa, au asije kumfanyia hasira za aina hii

MMALIZANE BASI NAWE MATOLA,😛eace:amani tafadhali
 
Na ndiyo maana wanawake wengi wasomi hawaolewi kwa sababu ya dharau, au hata kama wamesoma wote chuo wakamaliza, kisha wakaja kuoana ndoa zinakuwa hazidumu kwa sababu ya dharau,na wanaume hawapendi dharau.
wewe angalia kama anaweza kumdu maisha na mnaweza kukop pamoja, na mnaweza kutunza familia no matter what! hata kama ana degree wewe una master mheshimu, utaweza kujenga nyumba yenye heshima ,na utakuwa mfano kwa wote.

Marytina kuna wadada wako na tabia kama yako, mpk leo hii wako single kwa sababu ya kuchagua wanataka waolewe na wenye pesa, au wabunge, sasa hivyo vyote haviji hivi hivi bila kutafuta naye. Labda mtaolewa na wajane waliofiwa na wake zao.

Kweli kabisa Lisa. Mabinti wasiku hizi ni balaa tupu kwani pesa mbele ndo hutu badae. Nazani wanaume wapo tofauti sana jinsi wanavyowafikiria.
 
lol, ntakusitiri/ntakupa mpaka hiyo july kitakapoeleweka, kiukweli huwa nashangaaga unakuta mdada mrembo haswa, anavutia sana(sijui tabia) yupo 30's na single, hana hata bfnd wa permanento,wanaishilia kuwa mapambo ya wanaume za watu kuzungushwa kila ma bar mjini kama mapambo, kumbe chanzo ni mambo kama haya, poleni kwenu nyote, wadada/wakaka, mdada mwenye fikra hizi/mkaka atakaeangukia kwa dizaini hii! inasikitisha sana,kabisa mtu anajiona yupo kiwango kiasi hicho? sasa mbona hatokei huyo mwenye mapesa yake akamtuliza ndani? hao wanaowaona wenye mapesa sasa hivi wamechuma na sie wake zao wakati huo,(ushauri/mawazo etc) ndio wanaowafanya mnajiona viwango but ishu ni dk za mwisho, mtawatafuta hata hao mnaowadharau sasa hivi hamtawapata mana nao watakuwa walikamatwa na waliowadhamini wakati huo na maisha yao super wanayasongesha.
kumbe dau la kuku linampata mwewe???

staki ona watoto wananyanyasika kisa nimemkumbatia fukara kwa sababu ya mapenzi
 
Kwa hilo nakuunga Mkono,
Ukiona hilo utakuwa umemaliza maana ishasemwa "Ajikwezaye hushushwa" na ajishushaye hukwezwa.


0013.gif
0013.gif


0018.gif
0014.gif
0014.gif
0018.gif



 
hahahahahahahahahah
Kashe she mpauko. Usjali nahakika kuna wanume bora kwenye list yako.
usiokote kila lidubwasha.
unajua ukimpenda mtu hata kama hukumpata kuna hisia flani zinakuwaga juu yake
hizo hisia zinampa MATOLA protectiion cover dhidi yako
Marytina is a missile defence system wa MATOLA dhidi ya Afrodanzi.Haijalishi kwa sasa simuhitaji
 
Back
Top Bottom