wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

usiniogope sana, nimeshakwambia nikukutaka nakupa uroda mara mmoja mmoja tu tena mimi ndiye ntakayekuwa nakupigia na sii uje kunifwata niliko

Hiyo nayo ndo hatari, Uroda nao wa mara moja moja labda niwe nami nina lengo hilo,
Ila kam nimekupenda si utanitesa sana, maana katka hali hiyo wewe ndo utakuwa ukitaka, wakati mapenzi hayapo ivo, ukitaka au nikitaka.
Kwa kufanya uzinzi tu mi sipo, na labda kweli vijisenti vinatakiwa! Lakini kama nimekupenda NO!
 
You have to know this! Sio kila anaekutongoza amekupenda, sometimes anakuangalia tu (sometimes its a game, hivi kwa muonekano wako ukoje i mean how cheap you are)

Halafu hata kama nakupenda, upendo hauangalii hayo makitu (hela wala elimu) uroda uroda tu!

Lastly! Mwanamke ni mwanamke tu, awe profesa au mtoto wa shule ya msingi kwenye mapenzi they all behave the same! Anachopenda hakieleweki, so we try our luck sometimes! Huwezi juu unabahati gani.
mie nakielewa nachikitaka na nachokilinda
kipata cha kuanzia milioni mbili kwa mwezi.Hii haina maana mwenye milioni tano atakubaliwa wa mbili akataliwe la hasha
Mkaka akishakuwa na hiyo minimum qualification kwake najiachia na napenda regardless waje wengine wenye maximum qualifications
 
eti niwe na mkaka wa kumpaa hela, mmi martina au mwingine???? kama mtu hana hela akaoe zake huko kwetu kijijini mabinti wamejaa na sio kujaribu kwangu

wewe kiboko si mchezo! na nina wasiwasi hujawahi kupenda!
Ukishazeeka utakuja jua sasa ivi si mrembo sana! Fainali yaja kama itafika
 
wasio na vigezo utawajua tu kwa namna wanavyitukana.

kaka sikia hapa siongelea mamilioni. it is just like kipato cha milioni mbili kwa mwezi inatosha sana

user-online.png
Marytina

25th October 2012 10:47
#1
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 20th January 2011
Posts : 4,808
Rep Power : 1401
Likes Received871
Likes Given270



[h=2]
icon1.png
........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu[/h] arusha, baba mngoni, mama mchagga


.........duh nimeisha..........wana jf nina mchumba na staki acha naye kwa vyovyote ila

kuna mkaka yupo floor ya tano ni mzuri na mpole kupindukia.Nahisi staweza kumkataalia naomba asiwe malaya manake sina nguvu ya kumkataa.Tena nashukuru sina ujasiri wa kumtongoza mwanaume ningeshafanaya hivyo

Ofisi yao imehamia kwenye jengo letu karibuni...siku ya kwanza nlikutana naye kwenye lift nkaamua kupandisha nione anaposhuka.Alinipa salam nkashindwa hata kuitika.
Kama nuksi tukakutana kafeteria baada ya siku mbili tukakaa meza mmoja nlikula kidogo tu manake alipoanza mazungumzo nilijiona akili inavyonihama nkajipigia simu mwenyewe nkapokea nkajifanya naitwa juu.

Kama vile ameshanishtukia manake leo asubuhi kanitania alikula sahani zote mbili.

Najiuliza
1.Atakapoomba namba ya simu itakuwaje (hivi kwa umri huu kumnyima mtu namba nitaeleweka wakati tupo jengo mmoja).......AKIIPATA NAMBA YANGU NIMEISHA NA KUANZIA LEO WAKATI WA KULA SIENDI NA SIMU

NB:jaman huyo kaka ni mzuri sio mweupe wala mweusi, ana lafudhi ya bara, sio mfupi sio mrefu, sio chembamba sio chibonge.

MOYO NA AKILI VIMENIKATAZA KUMKARIBIA HUYU MKAKA ila MWILI unamtamani sana hadi ngozi imebadilika na kuwa rafu pia rangi imenifubaa gafla kwa kumtaka kila napomkumbuka
 
waajiriwa wa serikali ni wavivu hata katika kufikiri, mie natoka na watu wanaofanya kwenye private companies wenye uzoefu wa kufanya kazi under high pressure, result oriented na sio wapiga stori wa halmashauri na serikalini

ah! nilishajua tu, watu wenyewe unawajua kabisa kumbe
Lakini sijui kama ipo siku watakuja kukutongoza, But si mbaya endelea kusubiri. Kumbuka tu kuwa na wenyewe wana wengi kila mtu ana si pungufu ya wanawake 10 wa kila ladha, sijui yako.
Sasa mimi katika milioni 2 kama nimepungukiwa elfu kumi je utanikubali? mshahara utaongezeka July! (Mkataba ukiisha sijui tena utaniacha?)
 
nimekumiss ile mbaya dear
ni kweli huwezi jua status ya mtu kwa haraka ila kama yeye alipanga kuniwinda na anajua swaga zangu kwa nini hata asiigizie namna flani ili nimweke reserve list na kuanza kuchimbana mdogomdogo mwishoe nijue status yake
wanajikosesha wenyewe waha wakaka

hahahahahaahah nimecheka vipi na hiyo reserve list lol..
Wanaume wanakazi kweli ..

Haya bana nimekimbiwa na la kusema..
Ila afadhali umerudi uchangamshe MMU tena ..:majani7:
 
ndio maana nasema katongozeni wa levo yenu huku kwingine mnataka umizwa roho bure
Sawa dadake tumekusoma, ngoja tukajirushe na wale wa level yetu huko uwanja wa fisi. Life litasonga mbele tu kwani nao ni wana wa kike!.
 
Kigezo si anacho bwana wako Mmasai cha kulinda mageti na mshahara analipwa millioni 10 kwa mwezi? sasa hapa unatafuta nini?

th first and fore most anahiyo milioni mbili
pia ni mpole mcha mungu muungana na ananisikiliza
anafanta tour operator (details withheld)
hata sitafuti bwana bali wanaambia nyie tongoza tongoza muwe mnaangalia nani wa kumtongoza
 
Hiyo nayo ndo hatari, Uroda nao wa mara moja moja labda niwe nami nina lengo hilo,
Ila kam nimekupenda si utanitesa sana, maana katka hali hiyo wewe ndo utakuwa ukitaka, wakati mapenzi hayapo ivo, ukitaka au nikitaka.
Kwa kufanya uzinzi tu mi sipo, na labda kweli vijisenti vinatakiwa! Lakini kama nimekupenda NO!
hamna mwanaume anayekataa offer ya uroda duniani
 
th first and fore most anahiyo milioni mbili
pia ni mpole mcha mungu muungana na ananisikiliza
anafanta tour operator (details withheld)
hata sitafuti bwana bali wanaambia nyie tongoza tongoza muwe mnaangalia nani wa kumtongoza
Mmasai wako ameacha kazi lini Belgium?
 
iko well delivered
ni ndugu yake MATOLA wa jf

Asante! sikujua nikajua anatangaza nia kijanja maana yangu inagomea ishirini nilitaka kutuma pengine ningefikiriwa,
Sasa kwa jibu hili nina cancel application!
 
ah! nilishajua tu, watu wenyewe unawajua kabisa kumbe
Lakini sijui kama ipo siku watakuja kukutongoza, But si mbaya endelea kusubiri. Kumbuka tu kuwa na wenyewe wana wengi kila mtu ana si pungufu ya wanawake 10 wa kila ladha, sijui yako.
Sasa mimi katika milioni 2 kama nimepungukiwa elfu kumi je utanikubali? mshahara utaongezeka July! (Mkataba ukiisha sijui tena utaniacha?)
usinletee shida zako hapa
kama uko presentable na una ham ya uroda waweza kupewa na sii niwe mpenzi wako wa kudumu
mkataba ukiisha nakupa miezi sita uwe una kazi ingine
 
hakunaga mapenzi jamaa kupendana ni zama za kale.
Mungu kaniumba kila nguo kunikubali so wakaka jiangalieni sio kila mmoja anajiletaleta tu bila kujicheki cv yake
Njoo basi unipe uroda nipige gemu nisepe zangu ...............!
mie Nina PHD ya mambo halafu fedha Kama Kwenye avatar yangu ............:becky:
 
nafanya kazi kutafuta hela na sio kudumisha mapenzi.. source martina
 
Back
Top Bottom