Wakaazi wa Dar na vitongoji vyake, Arusha si mkoani ni Makao Makuu ya EAC

Hivi kwann vijana kutoka mikoa mingine huja dar kutafuta ajira
Tanzania ina watu milioni zaidi ya 60,wako wapi hao wote?
Huko walipo hawana kazi zao?au kazi zote zipo mkoa wa Dar?walioko mkoa wa Dar wote wana ajira?au mikoa mingine hawana hizo ajira?
 
Hujajibu swali MOSHI ni walaya au Mkoa, kwanini wengi husema naenda MOSHI na SIO naenda Kilimanjaro?
Nijibu swali? Swali gani? Kukusahisha Moshi sio mkoa umenigeuzia swali? Em usinichoshe
 
Kwanza serikali inapata kipato kikubwa kutoka dar na pili viwanda vya bakhresa vilivyoko huku vikiungua hamtakula maandazi wala chapati
Sasa mapato ya serikali ndo yanamlisha mtu? Au unajua chakula ni mandazi?
Ndo ninyi viazi vikiwa shambani mnaviita viazi vikifika dsm mnaviita chip's!

Alafu ata mazao ya kuendeshea hivyo viwanda vya ngano(white flour) ayatoki dsm.
 
Wengi wanajua Songea ni Mkoa na Ruvuma ni Wilaya sababu Songea ni MAARUFU zaidi kuliko Ruvuma,

Kumbe masikini ya MUNGU Ruvuma ndio Mkoa wenye Wilaya zake ambazo ni

Wilaya ya Mbinga Mjini‎
Wilaya ya Madaba‎
Wilaya ya Mbinga‎
Wilaya ya Namtumbo‎
Wilaya ya Songea Mjini‎
Wilaya ya Songea Vijijini‎
Wilaya ya Tunduru‎
Wilaya ya Nyasa
Wilaya ni Mbinga tu. Usichanganye mamlaka
 
Wengi wanajua Songea ni Mkoa na Ruvuma ni Wilaya sababu Songea ni MAARUFU zaidi kuliko Ruvuma,

Kumbe masikini ya MUNGU Ruvuma ndio Mkoa wenye Wilaya zake ambazo ni

Wilaya ya Mbinga Mjini‎
Wilaya ya Madaba‎
Wilaya ya Mbinga‎
Wilaya ya Namtumbo‎
Wilaya ya Songea Mjini‎
Wilaya ya Songea Vijijini‎
Wilaya ya Tunduru‎
Wilaya ya Nyasa
😆😆Ruvuma hakuna wilaya inaitwa Songea Vijijini kuna Songea DC. Ilitakiwa uandike hivi Songea MC,Songea DC,Mbinga TC,Mbinga DC
 
Dsm ni Dsm tu ina ladha yake, Arusha itabaki mkoani tu.

Tanzania ni Dar es salaam, na huwezi kuwa mjanja Tanzania kama hukai/haujawahi kuwa na makazi Dar es salaam.

Ndio maana wamikoani wakipata hela lazima waje Dar kuchukua maarifa na maujanja.
 
Sio kweli Dar ni zaidi ya Kibera mji UNANUKA UVUNDO
 
Wengi wanajua Songea ni Mkoa na Ruvuma ni Wilaya sababu Songea ni MAARUFU zaidi kuliko Ruvuma,

Kumbe masikini ya MUNGU Ruvuma ndio Mkoa wenye Wilaya zake ambazo ni

Wilaya ya Mbinga Mjini‎
Wilaya ya Madaba‎
Wilaya ya Mbinga‎
Wilaya ya Namtumbo‎
Wilaya ya Songea Mjini‎
Wilaya ya Songea Vijijini‎
Wilaya ya Tunduru‎
Wilaya ya Nyasa
Wilaya ya Mbinga,,,
Wilaya ya Songea.
Wilaya ya Nyasa
Wilaya ya Tunduru
Wilaya ya Namtumbo
Na hakuna Wilaya ya Madaba...
Nyingine ni Halmashauri tu za miji midogo na si Wilaya...
 
Pwani na Dar sio mikoani.

Ni Pwani na Dar tu kama zilivyo.

Halafu kwanini watu wengi wa mikoani (Arusha,Mbeya,Kilimanjaro...)wakija pwani Bagamoyo au Kibaha wanapenda kusema tupo Dar?
 
Back
Top Bottom