Wajuzi wa sheria, je kwa hukumu hii Mh. Zitto ataweza kugombea nafasi yoyote ya katika Uchaguzi Mkuu?

Japhet Karibu

Member
Feb 27, 2020
79
129
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Je, uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu, ndugu Zitto sheria za uchaguzi zinamruhusu kugombea nafasi yoyote, mfano nafasi ya ubunge nk?
 
Hapo ni sawa na kupewa kazi ya kukitafuta cheti cha form four cha Bashite!! Simply hataweza kwa kuwa kumzuia asifanye uchochezi ni sawa na kumzuia asifanye siasa wakati yeye ni mwana siasa na ndyo maana amepanga kufungua shtaka kupinga hiyo hukumu kwani akinyamaza ndiyo anakufa kizungu hivyo na tai shingoni
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Je, uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu, ndugu Zitto sheria za uchaguzi zinamruhusu kugombea nafasi yoyote, mfano nafasi ya ubunge nk?
Sasa hivi kuna ile sharia ya huyu mupe yure muruke...

Jr
 
Back
Top Bottom