Asante.Usirushe nyavu kumtega mamba yeye kama anakupenda mwache akwambie mwenye nahisi nawe unampenda ila usijaribu kuzionesha hisia zako kwake hatachelewa kutangaza umemtongoza
Nisiwe muongo kweli nimeanza kuhisi kumpenda though najitahidi kujizuia kuonesha maana sijui yeye anahisi vipi kiukweliInaoneakana na wewe unampenda
Kiswahili rahisi mnavutiana kasi ya nan aanze
huyo ni muoga, hana confidence so ni ngumu kuonesha hisia mkiwa private. we tulia jifanye huoni kituAsante.
Ila ananchanganya kwa nn akiwa na mm haoneshi hisia zake wazi....ila kukiwa na watu ndio anakua intense?
Unajua matatizo ya ofisin na mahusinao ndio shida ilipo kwa upande wakeNisiwe muongo kweli nimeanza kuhisi kumpenda though najitahidi kujizuia kuonesha maana sijui yeye anahisi vipi kiukweli
Hii selikari ya awamu ya tano kibokoAnakupenda huyo. Inabidi uipongeze Serikali ya Awamu ya tano, kama sio juhudi zao huyo kijana asingekupenda.
Ndio mkuu inagusa kila sekta.Hii selikari ya awamu ya tano kiboko
Wanaume usikurupuke nao subiri kama anakupenda atakuja, kurupuka utongoze akukule uku ana mtu wake mara ndan ya mwezi anakuacha afu mko ofisi mojaAsante.
Ila ananchanganya kwa nn akiwa na mm haoneshi hisia zake wazi....ila kukiwa na watu ndio anakua intense?
Yaani nimeipenda mkuuNdio mkuu inagusa kila sekta.
Unaelekea kumkubalia ila inabidi umchunguze kwanza huyo jamaa kabla haujamkubalia. Kuna watu wana wapenzi wao na wametoka mbali kwahiyo unaweza kujikuta umekuwa mchepuko. Unapigwa mimba, unaachwa na jamaa anaendelea na maisha yake.Ndiyo
Mimi sina mengi ya kusema ila mpatie kitumbua iko na njia ziko hapa.
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...www.jamiiforums.com
Habari zenu wana jamvi.
Mm ni muajiriwa mpya katika shirika flani nina kama miez sita tu hivi pale, katika shirika kuna kijana toka siku ya kwanza ya interview alinipokea vizur sana na alioneaha kua na interest na mm. Mwanzoni nilihisi ni mtu mchangamfu tu wala hana nia zozote za kimahusiano na mimi ila as time went on nikawa sielewi elewi kuna this day he gave me a cerntain close glance ambayo kwa msichana yoyote unaeza hisi huyu mtu anahisia na wewe. Hajawahi kunitamkia chochote ila watu wengine ofisini wananiambia ananipenda.
Swali langu ni hivi huyu mtu tukiwa wawili tu haoneshi chochote cha ziada kuonesha kama ananipenda au la ingawa anapenda kuwa around me sana anakua kawaida tu ila akiwa around watu wengine anaonesha hisia zake wazi na wivu endapo akiniona nainteract nao kwa ukaribu.
Kwa mitazamo yenu maoni gani mnaeza kunipa
Uoga, wasiwasi, au hajiamini ila vuta subra atakuambia tu labda mmeweka ukaribu zaidi kama marafiki had anashindwa kukwambiaAsante.
Ila ananchanganya kwa nn akiwa na mm haoneshi hisia zake wazi....ila kukiwa na watu ndio anakua intense?