Wajuzi wa mambo naomba msaada kwa hili

noony

Member
Apr 6, 2018
65
52
Habari zenu wana jamvi.

Mm ni muajiriwa mpya katika shirika flani nina kama miez sita tu hivi pale, katika shirika kuna kijana toka siku ya kwanza ya interview alinipokea vizur sana na alioneaha kua na interest na mm. Mwanzoni nilihisi ni mtu mchangamfu tu wala hana nia zozote za kimahusiano na mimi ila as time went on nikawa sielewi elewi kuna this day he gave me a cerntain close glance ambayo kwa msichana yoyote unaeza hisi huyu mtu anahisia na wewe. Hajawahi kunitamkia chochote ila watu wengine ofisini wananiambia ananipenda.

Swali langu ni hivi huyu mtu tukiwa wawili tu haoneshi chochote cha ziada kuonesha kama ananipenda au la ingawa anapenda kuwa around me sana anakua kawaida tu ila akiwa around watu wengine anaonesha hisia zake wazi na wivu endapo akiniona nainteract nao kwa ukaribu.

Kwa mitazamo yenu maoni gani mnaeza kunipa
 
Mimi sina mengi ya kusema ila mpatie kitumbua iko na njia ziko hapa.
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
 
Usirushe nyavu kumtega mamba yeye kama anakupenda mwache akwambie mwenye nahisi nawe unampenda ila usijaribu kuzionesha hisia zako kwake hatachelewa kutangaza umemtongoza
Asante.
Ila ananchanganya kwa nn akiwa na mm haoneshi hisia zake wazi....ila kukiwa na watu ndio anakua intense?
 
Nisiwe muongo kweli nimeanza kuhisi kumpenda though najitahidi kujizuia kuonesha maana sijui yeye anahisi vipi kiukweli
Unajua matatizo ya ofisin na mahusinao ndio shida ilipo kwa upande wake

Maana mhusiano na staff mwenzio ni kupoteza ufanis wa kazi ila kama mnahitaji

Kwaajili ya ndoa hapo sawa ila kama mi kuburudisha mwili hapana vunga tu
 
Asante.
Ila ananchanganya kwa nn akiwa na mm haoneshi hisia zake wazi....ila kukiwa na watu ndio anakua intense?
Wanaume usikurupuke nao subiri kama anakupenda atakuja, kurupuka utongoze akukule uku ana mtu wake mara ndan ya mwezi anakuacha afu mko ofisi moja
 
Ayayayayaaaaa iliwai nikuta jamaa alinielewa sana ila alikuwa hana confidence, akati huo nadate nalijamaa flan mume wa mtu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 anaumia alikuja niambia baada ya miaka3 ivi
 
Unaelekea kumkubalia ila inabidi umchunguze kwanza huyo jamaa kabla haujamkubalia. Kuna watu wana wapenzi wao na wametoka mbali kwahiyo unaweza kujikuta umekuwa mchepuko. Unapigwa mimba, unaachwa na jamaa anaendelea na maisha yake.
Siku zote usipende mapenzi ya kukimbize. Ukitumia akili 98% na hisia 2% utafurahia sana. Kuna mwenzako yeye alikuwa ana mtu wake baada ya kufika kazini akapata mwanaume mwingine. Kilichofuata mwanamke alipewa ujauzito, jamaa akaoa mpenzi wake waliyetoka naye mbali. Msala ukabaki kwa huyo mwanamke. Atamuambiaje jamaa yake kuwa ana mimba wakati wana kama miezi 3 hawajakutana kimwili?
Fikiria x2 kabla ya uamuzi wako.
 
We jamaa
Mimi sina mengi ya kusema ila mpatie kitumbua iko na njia ziko hapa.
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
 
Never mix mapenzi na kazi Dada one day you'll regret it!
Habari zenu wana jamvi.

Mm ni muajiriwa mpya katika shirika flani nina kama miez sita tu hivi pale, katika shirika kuna kijana toka siku ya kwanza ya interview alinipokea vizur sana na alioneaha kua na interest na mm. Mwanzoni nilihisi ni mtu mchangamfu tu wala hana nia zozote za kimahusiano na mimi ila as time went on nikawa sielewi elewi kuna this day he gave me a cerntain close glance ambayo kwa msichana yoyote unaeza hisi huyu mtu anahisia na wewe. Hajawahi kunitamkia chochote ila watu wengine ofisini wananiambia ananipenda.

Swali langu ni hivi huyu mtu tukiwa wawili tu haoneshi chochote cha ziada kuonesha kama ananipenda au la ingawa anapenda kuwa around me sana anakua kawaida tu ila akiwa around watu wengine anaonesha hisia zake wazi na wivu endapo akiniona nainteract nao kwa ukaribu.

Kwa mitazamo yenu maoni gani mnaeza kunipa
 
Asante.
Ila ananchanganya kwa nn akiwa na mm haoneshi hisia zake wazi....ila kukiwa na watu ndio anakua intense?
Uoga, wasiwasi, au hajiamini ila vuta subra atakuambia tu labda mmeweka ukaribu zaidi kama marafiki had anashindwa kukwambia
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom