Mmmmh!! Comfy ni big NO, yanachakaa haraka sana.Comfy
Ulipata fake.Mmmmh!! Comfy ni big NO, yanachakaa haraka sana.
Rafiki angu alipata fake nahisi, ukilalia ama kukaa ukiamka limeweka shimoTanform
Sijawahi kulitumia mie ni tanfoam since day one. Kuna mtu alinunua tena kwa wakala wao wala halikudumu.Ulipata fake.
Huyo alipigwa maana tanfoam haina huo ujinga. Hayo ukitaka upate yenyewe ulizia wakala wao wa mahali ulipo.Rafiki angu alipata fake nahisi, ukilalia ama kukaa ukiamka limeweka shimo
It depends alinunua lipi, yapo kwa grade 3 tofauti. Labda alichukua la bei chee au wakala alimpigaSijawahi kulitumia mie ni tanfoam since day one. Kuna mtu alinunua tena kwa wakala wao wala halikudumu.
Wengi wanaotumia comfy huwa wanayadiss, we ndio wa kwanza nakusikia waisifia.It depends alinunua lipi, yapo kwa grade 3 tofauti. Labda alichukua la bei chee au wakala alimpiga
Mimi ninalo toka 2001 na bado natumiaRafiki angu alipata fake nahisi, ukilalia ama kukaa ukiamka limeweka shimo
Kweli hayo ni vimeo.Nilitumia hili likawa na shimo
Kama mkeo ni Mmakonde au Mzaramo spring zitakatoka.Vitaspring ni bei gani mkuu?japo wanasema spring zake hazichelewi kukatika ukilinganisha na tanfoam spring
Sio kweli, hilo ndilo miongoni mwa magodoro mabovu.Qfl Dodoma haliwez tajwa kwasabab wananunua matajiri ila ndo godoro bora
Sent using Jamii Forums mobile app
EwaaaaaaNa mimi nagongea msumali wa mwisho..
HILI NDIO GODORO,
Kama hulalii TANFORM wewe unalalia Kaniki, sufi au ngozi ya kondoo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]..
Nyie ndio mnaamka usiku kupumzika.
Jiwe pangonii, nasubiri kelele.[emoji13][emoji13][emoji13]
Kongole mkuu ushauri kuntu huu [emoji120][emoji120]Usiyatafute usije ukapigwa! Nenda Instagram type tanfoam kisha waombe wakupe namba ya wakala wa mji unaoishi!
Naomba mchanganuo wa bei mkuuNinatumia godoro la tanfoam nililolinunua April 2000. Liko vizuri sana na sitarajii kulibadili ndani ya mika 10 ijayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba kufahamu jinsi ya kujua OG Na fakeRafiki angu alipata fake nahisi, ukilalia ama kukaa ukiamka limeweka shimo