Wajuzi wa Magodoro mazuri, msaada wenu tafadhali

Wajuzi wa Magodoro mazuri, msaada wenu tafadhali

Royal Warrior

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
1,166
Reaction score
2,144
Habari zenu,

Naomba kwa wajuzi wa magodoro mazuri yale ambayo ni magumu sana na yanadumu na ugumu huo kwa muda mrefu (miaka kama yote).

Naomba mnielekeze hiyo brand/kampuni ya magodoro hayo, na naweza yapata wapi kwa hapa Dar.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Tanfoam Arusha ni zaidi ya magodoro.
Alilinunua babu, hadi leo ninalitumia.

Majina yote ya magodoro nchini Tanzania hauwezi linganisha na Tanfoam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simmons
Kutoka nje ya nchi
Hili unalalia mpaka unakufa
Mjukuu naye analia mpaka anakufa
Kiufupi hili godoro haliharibiki utaharibika wewe utaliachaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom