Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,875
Sina nia mbaya lakini ni vema tukajua umeoa toka mkoa gani ndio tukupe ushauri mzuri. Mfano kama ulioa Mtwara ni vema ukanunua la sufi au orthopaedic mattress au kama ulioa Bukoba ushauri ununue godoro lenye kava ya ngozi.
Sasa tuambie umeoa wapi tukupe material au ni Moshi kama mimi?
Madam wewe labda ulipata zuri...Comfy
Na mimi nagongea msumali wa mwisho..Kupitia hizi comments za wadau, naweza conclude kuwa kwa hapa bongo TANFORM ndio babalao
Langu bado piruu kabisa. Nilinunua kwa duka la kiwandaMadam wewe labda ulipata zuri...
Mimi nilinunua baada ya miezi mitatu liligeuka kua kaniki.
Tanform ni funga kazi..
NOTE : kuna fake.
SWALI KWA YEYOTE MWENYE KUJUA..
Kati ya
Dodoma Halisi
Dodoma Asili na
Dodoma QFL lipi ni lipi?
Lipi ni bora?
mi nashindwa kuelewa kabisa.
Wa mikoani mnauziwa vitu kwa bei ya juu sana utafikiri mpo nje ya nchiwakuu haya magodoro ya TANFOAM ni babalao mji mzima wa kyela ni duka moja tu yana uzwa tena yapo mawili pale 5x6 ni laki mbili na hamsini R
Mbona mimi ni commoner lakini natumia QFL godoro Dodoma kwa Kishikwambi KatambiQfl Dodoma haliwez tajwa kwasabab wananunua matajiri ila ndo godoro bora
Sent using Jamii Forums mobile app