Unatumia Tracker gani mkuu?Naitumia kufanyia mazoezi asubuhi, baada ya muda nikarekodi hizi vitu hapa chini ila sielewi maana zake, Msaada plz kueleweshwa
Fat: 0.17107g
Heat: 0.132000
Speed: 0.001471
Mileage: 1.920000
Sawa nilitaka kujua tu maana hizi data...maana sizielewiPedometer ni sensor ya motion. Hutumika kudetect vitu kama hatua. Hata kwenye simu nyingi ipo.
Inaweza ikakuambia umetembea hatua ngapi kwa siku,ume burn calories ngapi, etc
Hapo umeeka data zako umbali uliotembea,speed uliotumia joto ulilotengeneza na unene uliochoma. Kama sijakosea.
Maana yake nini hapo inavyoonesha?View attachment 946901
Mambo ya fitness tracker hayo.
Maana yake nini hapo inavyoonesha?
Pia kupitia official app ya hii fitness tracker, unaona data zote kwa kama hiviMaana yake nini hapo inavyoonesha?
Uko vizuri...hizi zote upiga kwa siku moja??Pia kupitia official app ya hii fitness tracker, unaona data zote kwa kama hiviView attachment 946935
Ni ndugu yangu mkuu anatembea wastani wa km 8 kwa siku.Uko vizuri...hizi zote upiga kwa siku moja??
Inaonesha umbali uliokimbia/kuembea,joto la mwili lilivyopanda na mafuta umeunguza kiasi gani mkuu.Naitumia kufanyia mazoezi asubuhi, baada ya muda nikarekodi hizi vitu hapa chini ila sielewi maana zake, Msaada plz kueleweshwa
Fat: 0.17107g
Heat: 0.132000
Speed: 0.001471
Mileage: 1.920000
Ila hizi tracker za kichina nyingi si nzuri, hiyo Fitbit from US ndio best in the world inauzwa laki tatu. Nyingi ya hizi tracker za kichina hazipo accurate. Kwa uzoefu wangu mchina kabisa kuna brand mbili tu Amazfit na MI band, hizo ndio unaweza compare kidogo na hizi za US, ila nyingine nyingi za kichina hazitoi accurate data.Uko vizuri...hizi zote upiga kwa siku moja??
Nilijaribu kucheki hii sio accurate sana lakini inakua INA error kidogo... Ambayo sio mbaya sanaIla hizi tracker za kichina nyingi si nzuri, hiyo Fitbit from US ndio best in the world inauzwa laki tatu. Nyingi ya hizi tracker za kichina hazipo accurate. Kwa uzoefu wangu mchina kabisa kuna brand mbili tu Amazfit na MI band, hizo ndio unaweza compare kidogo na hizi za US, ila nyingine nyingi za kichina hazitoi accurate data.
Hii vipi mzee, nimeinunua mtandaoni, ipo njiani inakuja.Ila hizi tracker za kichina nyingi si nzuri, hiyo Fitbit from US ndio best in the world inauzwa laki tatu. Nyingi ya hizi tracker za kichina hazipo accurate. Kwa uzoefu wangu mchina kabisa kuna brand mbili tu Amazfit na MI band, hizo ndio unaweza compare kidogo na hizi za US, ila nyingine nyingi za kichina hazitoi accurate data.
Hii smart watch ina SIM card kuchaji ni daily wakati Fitbit single charge inakaa siku saba.Hii vipi mzee, nimeinunua mtandaoni, ipo njiani inakuja. View attachment 947242